Nchi za Afrika zina sifa tofauti zinazozifanya kupendeza na pia kufanya watu wengi wapende kutembelea nchi hizo ili kujionea kama sifa hizi ni Kweli.
Huku ukitoa sababu ni nchi gani ungependa kutembelea?
Je, ni nchi gani ungependa kutembea Afrika?
Shea
CarolGK
Mimi ningependa sana kutembea Afrika kusini, Nigeria na Tanzania. Mungu asikie maombi yangu
Mimi ningependa sana kutembea Afrika kusini, Nigeria na Tanzania. Mungu asikie maombi yangu
Angalia kidogoOracle
Mimi ningependa kutembelea nchi za Guinea, DR Congo na Botswna ili kufanya utafiti wa kufahamu namna bora ya kutumia na kusimamia rasilimali kwa maendeleo ya wananchi na katika kuepuka/kutatua migogoro. Botswana ni mfano bora wa usimamizi bora wa rasilimali, lakini Dr Congo kuna shida kubwa katika uSoma zaidi
Mimi ningependa kutembelea nchi za Guinea, DR Congo na Botswna ili kufanya utafiti wa kufahamu namna bora ya kutumia na kusimamia rasilimali kwa maendeleo ya wananchi na katika kuepuka/kutatua migogoro. Botswana ni mfano bora wa usimamizi bora wa rasilimali, lakini Dr Congo kuna shida kubwa katika usimamizi na matumizi ya rasilimali hali inayosababisha mgogoro (vita) usiokwisha. Kwa upande mwingine, Guinea imetulia kwa sasa baada ya migogoro ya mara kwa mara iliyotokana na usimamizi mbovu wa madini ya beuxite. Mlinganisho huo utasaidia kuonesha njia zinazoweza kutumika kukuza uchumi, kuepuka migogoro na kuleta ustawi wa wananchi.
Angalia kidogoJoylee
Kuna nchini nyingi ambazo ningependa kuzuru katika Afrika. Nchi kama vile Afrika Kusini, Eritria na hata Nigeria ni baadhi tu ya nchi ambazo zina mvuti halisi ya kitalii. Ina mambi mengi ya kuzuru na kujionea miongoni yao hata wanyama hadimu duniani.

Angalia kidogo