Naona watu bado wana mahitaji yao ya kimwili, hasa katika muda huu wa kubaki nyumbani siku yote. Swali hili ni muhimu tujue namna tuendelee na usalama. Majibu ya serious tu naomba.
Je, mtu anaweza kupata corona kupitia ngono?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
Luyela
Hapana, mtu hawezi kupata maambuzi ya corona kupitia ngono. Ila anaweza kupata virusi endapo tu watagusana sehemu zenye vidudu vya corona kama mikononi, mdomoni n.k
Hapana, mtu hawezi kupata maambuzi ya corona kupitia ngono. Ila anaweza kupata virusi endapo tu watagusana sehemu zenye vidudu vya corona kama mikononi, mdomoni n.k
Angalia kidogoCloudy2
Kwa hivyo hata mtu anaweza kula mpaka anakunywa bia ya corona na bado hataipata???
Kwa hivyo hata mtu anaweza kula mpaka anakunywa bia ya corona na bado hataipata???
Angalia kidogoCarolGK
Haijadhibitishwa kuwa unaweza pata Corona kupitia ngono. Lakini tendo la ngono lenyewe linahusisha mabusu mengi na kuwa kwa ukaribu sana na mwenzako, kwa hivyo unaweza kupata corona kwa njia ya mate
Haijadhibitishwa kuwa unaweza pata Corona kupitia ngono. Lakini tendo la ngono lenyewe linahusisha mabusu mengi na kuwa kwa ukaribu sana na mwenzako, kwa hivyo unaweza kupata corona kwa njia ya mate
Angalia kidogoUpendo
Kila kitu kinapatikana ngono - STD, virusi, upotevu kwa hivyo si corona pia? Chungu vizuri 👀
Kila kitu kinapatikana ngono – STD, virusi, upotevu kwa hivyo si corona pia? Chungu vizuri 👀
Angalia kidogo