Punde tu mgonjwa wa Korona wakwanza alipopatikana nchini Tanzania. Rais John Paul Magufuli aliwasihi Watanzania waendelee na shughuli zao za kawaida ili kuzuia uchumi wa Tanzania kuzoroteka.
Kwa maoni yako maneno haya yanafaa?
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Naona mjadala kati manufaa ya kuendelea kawaida ama kuendelea mhofu inafaa. Watu wengi wa Tanzania wanategemea kazi yao. Umaskini upo mengi kwa Tanzania, hata kuliko Kenya. Kwa hivyo si nchi hizo zisisahau changamoto zao zingine zilikuwepo kabla? Hakuna nchi inayoathirika sana katika Afrika ya SSoma zaidi
Naona mjadala kati manufaa ya kuendelea kawaida ama kuendelea mhofu inafaa. Watu wengi wa Tanzania wanategemea kazi yao. Umaskini upo mengi kwa Tanzania, hata kuliko Kenya. Kwa hivyo si nchi hizo zisisahau changamoto zao zingine zilikuwepo kabla? Hakuna nchi inayoathirika sana katika Afrika ya Sahara. Kama mambo inaendelea hivyohivyo nchi zifunguke polepole na kitaratibu. Inabaki kuwa mwangalifu sana hapo. Hata Ulaya wamegundua baada ya muda ya kwamba idadi wanaokufa sio wengi kabisa walivyofikiria mwanzoni. Pia hao wana watu wengi wazee.
Lakini wacha nimalize vizuri – ya msingi ni kuwa Korona ni mambo mazito na hatari. Inabidi tuungane mikono kuishinda. Inabidi hatua nyingi ya serikali ili kupunguza vifo.
Angalia kidogoNi wazi kwamba nchini ambazo zilisimamisha shugli zao za kila siku kwa ajili ya Korona, zimeweza kuithirika pakubwa kiuchumi. Hivi basi, rais Magufuli alionea ni bora wananchi wa Tanzania kupambana na virusi hivi, moja kwa moja na kuendelea na shugli zao za kuikuza uchumi wa Tanzania. Hii inaweza kiSoma zaidi
Ni hatari sana kuweka pesa kabla ya maisha ya binadamu. Sina mengi ya kusema ila inatisha sana.
Ni hatari sana kuweka pesa kabla ya maisha ya binadamu. Sina mengi ya kusema ila inatisha sana.
Angalia kidogo