Ugonjwa wa Korona umeadhiri dunia yote na kufanya shughuli za kawaida kutofanyika jinsi zilikuwa zinafanywa.
Moja wapo wa mambo ambayo hayafanywi ki kawaida ni mambo kama vile kwenda kanisa, kujifijari na pia kutembeleana kwa watu.
Serikali mingi zimeeka kuarantine ili kuzuia wanashukiwa kuwa na virusi vya Korona.
Nchini Kenya Kuarantine wanalipisha shilingi elfu mbili hiyo ni kama Dola ishirini kwa siku kulipia matumizi yao.
Kwa maoni yako malipo haya ghali yafaa.?
Je, malipo ghali ya kuarantine yafaa?
Shea
CarolGK
Serikali ilisema kuwa itagharamia malipo yote ya karantini kwa walioambukizwa. Watakao lazimishwa kulipa gharama zao za karantini wenyewe, ni wale wanaokiuka maagizo ya serikali na WHO. Nadhani ni jambo la busara pia kwani litasaidia watu kutii na kuzuia kuweka maisha ya watu wengi hatarini.

See lessJoylee
Malipo ya quarantine inastahili. Inasaidia wananchi wasiojiweza kifedha kupata chakula. Hasa wakati huu wa lockdown, biashar nyingi zimezorota hivi watu kulazima kutegemea mchango wa serikali. Ni vyema serikali kutoa mchango huu.

See lessCloudy2
Ikiwa hofu ambayo dunia yote ilikuwa nayo kitambo ni ya ukweli basi hatua kali zilifaa. Naona sasa hivi tunachunguza tena hofu zetu tujue kama ni za msingi. Dunia inaanza kupimisha nani na nani ana ukinga tayari dhidi Korona. Ni ya hekima kufanya hatua taratibu wakati virusi inatisha idadi kubwaSoma Zaidi
Ikiwa hofu ambayo dunia yote ilikuwa nayo kitambo ni ya ukweli basi hatua kali zilifaa. Naona sasa hivi tunachunguza tena hofu zetu tujue kama ni za msingi. Dunia inaanza kupimisha nani na nani ana ukinga tayari dhidi Korona. Ni ya hekima kufanya hatua taratibu wakati virusi inatisha idadi kubwa ya vifo. Baada ya wiki mbili majibu yatakuwepo vizuri.
See less