• Kuna Mshindi!

Mchanga

Je, maishani mwako ungependa kutembelea nchi gani?

Taja sababu ya kupendezwa na nchi hiyo, kiwango hicho

Shea
 1. Jibu hili lilihaririwa.

  Natamani kutembelea Iceland. Kutokana na taarifa nilizosikia, nimependezwa na haya kutoka Iceland

  • Inasemekana kuwa ni salama sana na hakuna migogoro ya kivita, na takwimu za mauaji ni ndogo
  • Natamani kutembelea sehemu yenye barafu
  • Picha zake zinaonesha uzuri wake kama sehemu nzuri kwa ajili ya utalii hasa muonekano wa milima na miinuko.

  Ila licha ya yote hayo naipenda zaidi Tanzania nadhani kama ningekua nchi nyingine ningependa kutembelea TanzaniaūüėČ

  • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali