Je, kuna athari gani kwa nchi za Afrika kutokana na mgogoro wa kidiplomasia unaoendelea kati ya China na Marekani?

Migogoro isiyokwisha kati ya mataifa makubwa ya China na Marekani imepelekea kutokea kwa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia kati ya nchi hizo. Hivi karibuni Marekani ilifunga ubalozi wa China huko Houston, Texas, na China ikalipa kisasi kwa kufunga ubalozi wa Marekani ulioko Chengdu. Je, kuendelea kwa mguguano huu kunaleta athari gani kwa mataifa yenye uchumi legevu, hasa ya Afrika?

Shea

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali