Kulingana na maoni yako, inawezekana kuwa virusi vya Korona vinaweza kuisha ifikapo mwaka ujao ama mwaka huu tuliopo. Toa hisia zako na sababu?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Hakuna anayeweza kusema kwa kweli ugonjwa wa Corona utaishi lini. Ata hivyo, dunia ya kisasa imebobea sana kimaendeleo kwa hivyo tunatarajia ugonjwa huo kuisha kabla mwaka huu kuisha. Uchina na nchi zingine zinashughulika sana kutafuta chanjo na tuna amani itapatikana. Ninaamini chanjo ishapatikanaSoma zaidi
Hakuna anayeweza kusema kwa kweli ugonjwa wa Corona utaishi lini. Ata hivyo, dunia ya kisasa imebobea sana kimaendeleo kwa hivyo tunatarajia ugonjwa huo kuisha kabla mwaka huu kuisha. Uchina na nchi zingine zinashughulika sana kutafuta chanjo na tuna amani itapatikana. Ninaamini chanjo ishapatikana nchini Uchina na wamebakisha majaribio tu. Tumeshuhudia ugonjwa wa corona kupungua kabisa nchini uchina na maambukizi mapya si mengi. Kumaanisha ata Afrika virusi vitaisha tu kwani huku maambukizi ata si mengi vile. Pia watu wamevumbua mbinu mingi za kinyumbani za kupambana na virusi vya corona na zimesaidia sana.
Cha muhimu sasa hivi ni kufuatilia masharti ya wizara ya afya na serikali mpaka pindi ugonjwa huu utakapoisha ili kuzuia maambukizi mengi zaidi. Zaidi tumuweke Mungu mbele na tumuombe sana atuondolee janga hili la corona mwaka huu ili tuyarudie maisha yetu ya kawaida.
Angalia kidogoCorona itaisha mwaka huu lakini mabaki yake hataendelea miaka ijayo maanake athari kubwa zake zitakwisha mwakani lakini viwimbi vidogo vya baadaye vitatokea siku za usoni.
Corona itaisha mwaka huu lakini mabaki yake hataendelea miaka ijayo maanake athari kubwa zake zitakwisha mwakani lakini viwimbi vidogo vya baadaye vitatokea siku za usoni.
Angalia kidogoUgonjwa wa Korona umeleta shida chungu zima duniani kote. Ni maobi ya kila mmoja ugonjwa huu uweze kufikia tamati. Iwapo kila mtu atatilia maanani sheria ambazo zimeekwa ili kupuguza kuenea kwa ugonjwa huu bila Shaka ugonjwa huu hauna budi utafikia tamati. Lakini tusipozitia maanani kanuni za wizaraSoma zaidi
Ugonjwa wa Korona umeleta shida chungu zima duniani kote. Ni maobi ya kila mmoja ugonjwa huu uweze kufikia tamati.
Iwapo kila mtu atatilia maanani sheria ambazo zimeekwa ili kupuguza kuenea kwa ugonjwa huu bila Shaka ugonjwa huu hauna budi utafikia tamati. Lakini tusipozitia maanani kanuni za wizara ya afya ugonjwa utachukua mda mrefu.
Asante Sana.
Angalia kidogo