Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Jitambulisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
JitambulishaJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Vyeo
    • Vyeo
    • Matuzo
    • Watumiaji Wengine
  • Kutuhusu
    • Kutuhusu
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

Joylee
Joylee
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Ufuasi
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 26/02/2021 saa 1:52 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 18/02/2021 saa 11:09 mu
      • NiyimpaRichard alipiga kura dhidi ya swali lakotarehe 14/02/2021 saa 3:01 um
      • NiyimpaRichard alipiga kura kwa swali lako.tarehe 14/02/2021 saa 3:00 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 12/02/2021 saa 12:08 um
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
    • Wasifu
    • Faragha
    • Barua Pepe
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7942
Inashughulikiwa
Joylee
Joylee

Joylee

  • shupavu na mwenye bidii.
  • 41 Maswali
  • 43 Majibu
  • 1 Jibu Bora
  • 75 Pointi
Ona Wasifu
Joylee
aliuliza 09/05/20202020-05-09T01:43:12-03:00 2020-05-09T01:43:12-03:00kwa Mahusiano

Je, hatua ya Willis kumuacha mke wake inafaa?

Hivi majuzi, mwanahabari shupavu wa televisheni na hosti mkuu wa show inayoitwa “10 over 10” nchini Kenya. Ameweza kukabiliwa na malalamishi kwamba akona uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa yake. Nini hasa inaweza kuwa chanzo cha kisa hiki. Au kulingana na maoni yako.ni mambo gani yanayo changia katika kitendo kama hiki?

  • 0
  • 1
  • 214
  • 0
Jibu
Shea
  • Facebook

    1 Jibu

    • Kura
    • Mapya
    • Zamani
    1. CarolGK

      CarolGK

      • Napenda lugha
      • 13 Maswali
      • 100 Majibu
      • 9 Majibu Bora
      • 125 Pointi
      Ona Wasifu
      CarolGK Napenda lugha
      2020-07-01T01:30:45-03:00Alijibu tarehe 01/07/2020 saa 1:30 mu

      Tamaa. Wanaume wana tamaa sana. Hii ndiyo inayochangia wanaume wengi kwenda nje ya ndoa. Tendo hili halifai kabisa na alichofanya Willis atakuja kujutia mbeleni.

      Tamaa. Wanaume wana tamaa sana. Hii ndiyo inayochangia wanaume wengi kwenda nje ya ndoa. Tendo hili halifai kabisa na alichofanya Willis atakuja kujutia mbeleni.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 14/06/2020
      • Majibu: 0

      Je, ni mtu wa kabila gani huwezi kuolewa naye na ...

      Hili swali ni la Wakenya pekee

      • Tarehe: 12/06/2020
      • Jibu: 1

      Je, unaweza kuoa au kuolewa na mtu ambaye si wa ...

      Kwa mfano, iwapo wewe ni mkristu, unaweza oa au olewa na muislamu ama mhindi? Vile vile, iwapo wewe ni muislamu unaweza kubali kuoa au kuolewa na mhindi ama mkristu?

      • Tarehe: 05/06/2020
      • Jibu: 1

      Je, nijuaje kama mwanamume ni mtu mkweli katika uhusiano?

      Wanaume wanadanganya sana katika uhusiano kuliko wanawake. Tabia gani mwanzoni zinaashiria mtu ni mbaya ama mdanganyifu?

    • Umewahi kubaguliwa na mzungu?
      • Tarehe: 02/06/2020
      • Jibu: 1

      Umewahi kubaguliwa na mzungu?

      Sasa kuna habari nyingi toka marekani juu ya ubaguzi dhidi weusi. Ningependa kuuliza kama mtu yeyote ana stori ya kubaguliwa Afrika Mashariki?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

      Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; Kutokea visa pale ambapo mwanamke mmoja amechanja kifuani mwanaume mmoja ambaye aliku ni mpenzi wake. Je, nini ambacho wanaume wanatenda

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 3

      Hatua na serikali ya Kenya kuondo kafiu na vizuizi vya ...

      Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia katika kurejesha hali ya uchumi kama awali au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

      Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; Kutokea visa pale ambapo mwanamke mmoja amechanja kifuani mwanaume mmoja ambaye aliku ni mpenzi wake. Je, nini ambacho wanaume wanatenda

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Ni mambo gani ambayo umepanga utafanya pindi tu serikali itakapo ...

      Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha biashara kama hapo kitambo. Je, unaona kama hii ni wazo nzuri au la?

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Unahisi vipi kutokana na maoni ya Magix Enga kutaka kumsaini ...

      Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye habari inayopitiza. Je, unaona kama Magix Enga anaweza kumsaini Diamond na timu yake ya Wasafi kupitia kandarasi?

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Vyeo
      • Vyeo
      • Matuzo
      • Watumiaji Wengine
    • Kutuhusu
      • Kutuhusu
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi
    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais