Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Trump amefeli sana. Kwanza kabisa amewatekeleza wananchi wake kwa kuwaambia watumie tembe za chloroquine ambazo hazijaidhinishwa na shirika la afya na hivyo kuongeza vifo
Trump amefeli sana. Kwanza kabisa amewatekeleza wananchi wake kwa kuwaambia watumie tembe za chloroquine ambazo hazijaidhinishwa na shirika la afya na hivyo kuongeza vifo
Angalia kidogoUgonjwa wa Korona ni hauna ndume unaadhiri waliokuwemo na wasiokuwemo. Hili ni janga ambalo mungu tu anaweza kuidhibiti. Asante sana.
Ugonjwa wa Korona ni hauna ndume unaadhiri waliokuwemo na wasiokuwemo. Hili ni janga ambalo mungu tu anaweza kuidhibiti.
Asante sana.
Angalia kidogoHakuna mtu ambaye anaweza kudhibiti korona, wakiwemo marais
Hakuna mtu ambaye anaweza kudhibiti korona, wakiwemo marais
Angalia kidogo