Hongera sana kwa SautiSol kwa kutoa wimbo huu bora kiasi hiki. Huu ni wimbo unaosaidia kuwatia waafrika nguvu tunapopambana na Korona na masaibu mengine kutokana na hali hii. Ni vyema kiwa mkakamavu na mvumilivu katika maisha ya kila siku ili kuwa bora. Wimbo huu unawapa wananchi wa Kenya na AfrikaSoma zaidi
Hongera sana kwa SautiSol kwa kutoa wimbo huu bora kiasi hiki. Huu ni wimbo unaosaidia kuwatia waafrika nguvu tunapopambana na Korona na masaibu mengine kutokana na hali hii. Ni vyema kiwa mkakamavu na mvumilivu katika maisha ya kila siku ili kuwa bora. Wimbo huu unawapa wananchi wa Kenya na Afrika mashariki kwa jumla tumaini.
Wimbo huu unawapa Raia matumaini ya maisha mema. Unawasisitizia ingawa mambo yanaweza kuwa mangumu wakati huu siku moja mambo yatakuwa mazuri. Tunaitaji nyimbo zaidi kama hii zinazotupa matumini ya mazuri yanayokuja, hasa wakati hii tunapambana na ugonjwa wa Korona. Nakupenda Sana wimbo huu. AsanteSoma zaidi
Wimbo huu unawapa Raia matumaini ya maisha mema. Unawasisitizia ingawa mambo yanaweza kuwa mangumu wakati huu siku moja mambo yatakuwa mazuri.
Tunaitaji nyimbo zaidi kama hii zinazotupa matumini ya mazuri yanayokuja, hasa wakati hii tunapambana na ugonjwa wa Korona.
Hongera sana kwa SautiSol kwa kutoa wimbo huu bora kiasi hiki. Huu ni wimbo unaosaidia kuwatia waafrika nguvu tunapopambana na Korona na masaibu mengine kutokana na hali hii. Ni vyema kiwa mkakamavu na mvumilivu katika maisha ya kila siku ili kuwa bora. Wimbo huu unawapa wananchi wa Kenya na AfrikaSoma zaidi
Hongera sana kwa SautiSol kwa kutoa wimbo huu bora kiasi hiki. Huu ni wimbo unaosaidia kuwatia waafrika nguvu tunapopambana na Korona na masaibu mengine kutokana na hali hii. Ni vyema kiwa mkakamavu na mvumilivu katika maisha ya kila siku ili kuwa bora. Wimbo huu unawapa wananchi wa Kenya na Afrika mashariki kwa jumla tumaini.
Angalia kidogoWimbo huu unawapa Raia matumaini ya maisha mema. Unawasisitizia ingawa mambo yanaweza kuwa mangumu wakati huu siku moja mambo yatakuwa mazuri. Tunaitaji nyimbo zaidi kama hii zinazotupa matumini ya mazuri yanayokuja, hasa wakati hii tunapambana na ugonjwa wa Korona. Nakupenda Sana wimbo huu. AsanteSoma zaidi
Wimbo huu unawapa Raia matumaini ya maisha mema. Unawasisitizia ingawa mambo yanaweza kuwa mangumu wakati huu siku moja mambo yatakuwa mazuri.
Tunaitaji nyimbo zaidi kama hii zinazotupa matumini ya mazuri yanayokuja, hasa wakati hii tunapambana na ugonjwa wa Korona.
Nakupenda Sana wimbo huu.
Asante Sana.
Angalia kidogoMusic zote za kiafrika inawakilisha waafrika kwa roho, sauti, na ngoma zilizo bora duniani
Music zote za kiafrika inawakilisha waafrika kwa roho, sauti, na ngoma zilizo bora duniani
Angalia kidogoNaupenda sana pia. Sauti sol ni waafrika asili. Wananifanya nijivunie kuwa mwafrika kwa kuuza sura ya Afrika kwa dunia nzima.
Naupenda sana pia. Sauti sol ni waafrika asili. Wananifanya nijivunie kuwa mwafrika kwa kuuza sura ya Afrika kwa dunia nzima.
Angalia kidogo