Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Jilogisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
JilogishaJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya rununu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Ziada
    • Kutuhusu
    • Vyeo
    • Tagi
    • Wenzako
    • MUS

Profile menu

Nilote4life
Nilote4life
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Admin alijibu swali lako.15/01/2021 saa 3:23 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.14/01/2021 saa 6:17 um
      • Cloudy2 alipiga kura kwa swali lako.13/01/2021 saa 12:42 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.12/01/2021 saa 11:50 um
      • Cloudy2 alifuata swali lako. ( lishafutwa )12/01/2021 saa 9:23 um
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 6835
Inashughulikiwa
Nilote4life
Nilote4life

Nilote4life

  • Naamini kwa uwezo wa utu
  • 2 Maswali
  • 12 Majibu
  • 2 Majibu Bora
  • 37 Pointi
Ona Wasifu
Nilote4life
Asked: 02/04/20202020-04-02T20:02:31-03:00 2020-04-02T20:02:31-03:00 Lugha

Hongera kwa tovuti. Mimi nauliza – Kiswahili ni lugha rasmi katika nchi ngapi?

Najua ni rasmi Tanzania na Kenyan lakini hali ikoje nchi zingine? Nchi zaidi wanatumia mara kwa mara lakini ni nyingi zilizofanya kiwe rasmi?

Hongera kwa tovuti. Mimi nauliza – Kiswahili ni lugha rasmi katika nchi ngapi?
kenyakiswahililughatanzania
  • 0
  • 1
  • 231
  • 0
Jibu
Shea
  • Picha za

    1 Jibu

    • Imepigiwa kura
    • Majibu Mapya
    • Kongwe zaidi
    1. CarolGK

      CarolGK

      • Napenda lugha
      • 13 Maswali
      • 100 Majibu
      • 8 Majibu Bora
      • 117 Pointi
      Ona Wasifu
      CarolGK Napenda lugha
      2020-06-14T06:14:53-03:00 14/06/2020 saa 6:14 mu

      Kiswahili ni lugha ya kitaifa nchini tu Kenya na Tanzania lakini kuna nchi zingine Afrika mashariki wanaojifunza kiswahili na kuanza kukitumia kama lugha rasmi. Hizi nchi ni kama vile Congo, Burundi na Uganda.

      Kiswahili ni lugha ya kitaifa nchini tu Kenya na Tanzania lakini kuna nchi zingine Afrika mashariki wanaojifunza kiswahili na kuanza kukitumia kama lugha rasmi. Hizi nchi ni kama vile Congo, Burundi na Uganda.

      See less
      • 0
      • Shea
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp

    You must login to add an answer.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 01/04/2020
      • Majibu: 4

      Mbona watu wengi wanafikiri wazungu hawajui kiswahili?

      Sasa hivi nimeishi miaka mengi kwa Afrika Mashariki. Nilitia bidii ili nijue Kiswahili. Hata nikiwaambia watu ninajua kiswahili, hawaniamini. Nauliza - wazungu ambao wanajua kiswahili ni wengi ama ni wachache? Umekutana na wengi? Mzungu ya

      • Tarehe: 31/03/2020
      • Majibu: 2

      Nchi gani kati ya Kenya na Tanzania itaibuka mshindi kwa ...

      Sasa watu wanajua Kenya iko mbele si ndio. Hata watanzania wanasema Nairobi ndio kama imeingia majuu. Lakini hali inaweza kubadilika. Sanasana katika huu muda ambao Magafuli anashindana na wenzake vikali. mfano ni ujanja wake wa kujipatia hiyo mkataba wa kuunganisha

      • Tarehe: 29/03/2020
      • Majibu: 5

      Rayvanny anaunga mkono na serikali ya Tanzania katika ngoma yake ...

      Nimefurahi kuona Rayvanny akitoa ngoma ya kuelimisha juu ya ugonjwa hasa kipande kile cha video kinachoonesha raisi wa Tanzania akieleza uzito wa corona. Mimi nataka kujua kama hii ndio wazo lake ama alishirikiana na mamlaka ya nchi? Iwapo hivyo mbona

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 03/06/2020
      • Jibu: 1

      Baada ya matukio mengi mwakani - una malengo gani?

      Naona Diamond ana malengo mazuri sana tunayoweza kufuatia. Je, kwako ni vipi?

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Ziada
      • Kutuhusu
      • Vyeo
      • Tagi
      • Wenzako
      • MUS

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi

    Lugha Saidizi

    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais