Angalia hii twitter ambayo inaonesha askari wa GSU wakitawanya watu na gesi ya machozi. Huenda hii ikawa kawaida ndani ya Afrika? Mungu atusaidie
Chaos at the Likoni channel as GSU officers descend on ferry commuters, an hour before curfew. pic.twitter.com/7QnfAUF4GQ
— NTV Kenya (@ntvkenya) March 27, 2020
CarolGK
Ni uchungu sana kuona watu wanaofaa kuwalinda wananchi wakiwadhulumu. Hii inaongezea uwezekano wa kupata Corona ijawapo mmoja alikuwa nayo.

Angalia kidogoMamaYako
Kwa vile watu wakapiga kelele sasa hata rais akauliza samaha! I hope hiyo itakuwa fundisho kwa raisi zingine barani mwa Afrika wanaotumia nguvu mno katika juhudi zijazo dhidi janga.

Angalia kidogo