Serikali imeweza kubaini njia tofauti katika kukabiliana na virusi vya Korona. Eastleaigh ikiwa mojawapo ya eneo zilizo kabiliwa na idadi kubwa ya watu walio na Korona. Je hatua hii inastahili au la?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Sijui lakini nashuku itasaidia kufanya lockdown kwa mtaa moja. Pia watu wa eastleigh wanaweza kuepuka sheria yoyote. Ujanja upo Eastleigh. Naogopa mtaa unalengwa na sababu zingine ya kisiasa lakini bado sijasoma juu nayo.

Angalia kidogoNdio inafaa. Eneo lolote linalopatikana na kiwango cha juu sana cha maambukizi mapya ya virusi vya Corona, linafaa litengwe mpaka virusi vitakapodhibitiwa hapo sasa linaweza kufunguliwa. Hii ni kwa minajili ya kupunguza uwezekano wa maambukizi mapya na mengi zaidi. Hivi ndivyo Ata nchi zingine za ngSoma zaidi
Ndio inafaa. Eneo lolote linalopatikana na kiwango cha juu sana cha maambukizi mapya ya virusi vya Corona, linafaa litengwe mpaka virusi vitakapodhibitiwa hapo sasa linaweza kufunguliwa. Hii ni kwa minajili ya kupunguza uwezekano wa maambukizi mapya na mengi zaidi. Hivi ndivyo Ata nchi zingine za ng’ambo zinavyofanya.
Angalia kidogo