Hatua na serikali ya Kenya kuondo kafiu na vizuizi vya mpaka kutoka tarehe sita itasaidia?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia katika kurejesha hali ya uchumi kama awali au la?

Shea
 1. Jibu hili lilihaririwa.

  Nadhani rais alifanya uamuzi mwema zaidi kwani angeifungua nchi, ingekuwa ng’umu zaidi kuudhibiti ugonjwa huu mashinani.

  • 0
 2. Hatua hii itadhuru maanake wengi watarudi katika shughuli zao za kawaida na za kila siku hivyo basi virusi vitasambaa zaidi kutoka kwa mmoja hadi mwengine.

  • 0
 3. Korona tayari imeenea kote duniani, hata kama serikali itazuia bado ugonjwa huu utaenea. Ni heri nchi kuendelea na shughuli zao za kawaida. Si vyema uchumi kuzoroteka na watu wanazidi kufa.

   

  • 0

You must login to add an answer.