Je,unafikiri kwamba serikali imeweza kusaidia wananchi katika kuwa na maski kila wakati. Ni hatua ipi ambayo serikali inapaswa kuchukua ili kuhakikisha kwamba kila mkenya ana maski yake?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Nadhani swala la barakoa si la umuhimu sasa hivi. Hii ni kwa kuwa unaweza kuinunua barakoa kwa shilingi hamsini tu na kuifua kila unapohitaji kuivaa. Shida kuu kwa sasa ni chakula na makazi. Serikali inafaa kushughulikia jinsi itawapa wananchi wake chakula na kuwapunguzia kodi ya nyumba, maji na umeSoma zaidi
Nadhani swala la barakoa si la umuhimu sasa hivi. Hii ni kwa kuwa unaweza kuinunua barakoa kwa shilingi hamsini tu na kuifua kila unapohitaji kuivaa. Shida kuu kwa sasa ni chakula na makazi. Serikali inafaa kushughulikia jinsi itawapa wananchi wake chakula na kuwapunguzia kodi ya nyumba, maji na umeme. Hasa ukizingatia watu wengi sasa hivi wamepoteza kazi zao na wengine wengi biashara zao zimehadhirika.
Angalia kidogo