Nashangaa vile viongozi kadhaa duniani wana laumu mkuu wa afya duniani Tedros Adhanon? Alifanya kazi vizuri si ndio? Yeye anawakilisha juhudi ya juu dhidi janga.

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
Joylee
Mkuu wa shirika la afya duniani aliweza kufanya vyema kutahatharisha dunia kutoka na virusi vya Corona. Na hata kuweza kutoa msahada kwa nchini ambazo ziliathirika zaidi na Virusi vya Corona. Kwa maoni yangu Mkuu wa afya duniani anatekeleza majukumu yake ipasavyo Hongera kwake!

See less