Nchi mingi duniani zinaongozwa kidemokrasia lakini wanachi wanaonekana kutumia Uhuru wao kutenda mambo ambayo Yana madhara mingi.
Je kunafaa Uongozi wa kiimla au Kidemokrasia?
Duniani kunafaa uongozi wa kiimla au Kidemokrasia
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
CarolGK
Tunafaa kuwa na uongozi wa kidemokrasia nchini Kenya kama nchi zingine lakini uongozi wa kiimla ushaanza kujitokeza.

Angalia kidogoJoylee
Uongozi wa Kidemokrasia ndiyo iliyo bora. Hii ni kwa sababu wananchi watapata nafasi ya kuchangia katika uongozi wa nchi.

Angalia kidogoMamaYako
Demokrasia ndio namna bora lakini demokrasia aina ya kiafrika inabidi kuwa kivyake sio ya kuigaiga

Angalia kidogo