Italy wameweza kuthibiti virus vya Corona pamoja Amerika. Je, kulingana na maoni yako, pana uwezekano kuwa nchi hizi zimepata dawa na kutibu virusi vya Corona?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Hakujatangazwa kuwa dawa yoyote imepatikana ya corona, ila nchi mbali mbali zinafanya kazi usiku na mchana kuvumbua chanjo ya virusi vya corona na tuna imani itapatikana.
Hakujatangazwa kuwa dawa yoyote imepatikana ya corona, ila nchi mbali mbali zinafanya kazi usiku na mchana kuvumbua chanjo ya virusi vya corona na tuna imani itapatikana.
Angalia kidogoKorona ni ugonjwa hatari sana ambao umepiga dunia. Ni bayana kuwa virusi vyovyote vile havina dawa ila kunaezapatikana dawa ya kupuguza ukali wake. Wanasayansi wanazidi kutafuta dawa inayoweza kupuguza ukali wa virusi hivi. Siwezi sema kuwa kuna dawa ambayo imepatikana kwani Amerika watu wanazidi kuSoma zaidi
Korona ni ugonjwa hatari sana ambao umepiga dunia.
Ni bayana kuwa virusi vyovyote vile havina dawa ila kunaezapatikana dawa ya kupuguza ukali wake.
Wanasayansi wanazidi kutafuta dawa inayoweza kupuguza ukali wa virusi hivi.
Siwezi sema kuwa kuna dawa ambayo imepatikana kwani Amerika watu wanazidi kufa na maabukuzi mpya kupatikana kila uchao.
Asante Sana.
Angalia kidogo