Kuna kazi nyingi mitandaoni ambazo unaweza kufanya wakati huu wa mifungo na zikuletee hela. Hizi ni kama: 1) Tengeneza podcast yako. Hii ni sawa na redio. Shirikisha wasikilizaji wako na uweke matangazo. Pakua programu ambayo inasaidia podcast. 2) Andika hadithi kwa mfano kuhusu maisha yako. Kama huSoma zaidi
Kuna kazi nyingi mitandaoni ambazo unaweza kufanya wakati huu wa mifungo na zikuletee hela. Hizi ni kama:
1) Tengeneza podcast yako. Hii ni sawa na redio. Shirikisha wasikilizaji wako na uweke matangazo. Pakua programu ambayo inasaidia podcast.
2) Andika hadithi kwa mfano kuhusu maisha yako. Kama huna pesa ya kuchapisha kitabu, tengeneza kitabu cha sauti na uuze kwenye mitandao.
Sio kazi nyingi inayofanyika mtandaoni... Kama wewe ni mtu ambaye ana uwezo basi una bahati. Lakini ningefanya orodha ingekuwa hivi: Maandishi ya content - kuandika habari ama mambo mengine Uuzaji vitu kupitia vyombo vya jamii - yaani FB ama jukwaa lingine. Utangazaji (advertising) - haya inawezekaSoma zaidi
Sio kazi nyingi inayofanyika mtandaoni… Kama wewe ni mtu ambaye ana uwezo basi una bahati. Lakini ningefanya orodha ingekuwa hivi:
Maandishi ya content – kuandika habari ama mambo mengine
Uuzaji vitu kupitia vyombo vya jamii – yaani FB ama jukwaa lingine.
Utangazaji (advertising) – haya inawezekana kupitia mitandao ama hata kutoa YouTube videos kama @Eric amesema
Sio wote wanaoweza kufanya mambo haya lakini. Huu ni muda mgumu sana
Ugonjwa wa Korona umeadhiri bihashara Sana kote duniani, bihashara mingi zimeweza kufungwa na zingine kupuguza idadi ya wafanyi kazi. Je, hivi sasa bihashara ziko chini nini unaweza kufanya ili kujiletea mapato. Kuna bihashara mingi unaweza kufanya kwenye mitandao na kupata pesa kama vile: 1.KuandiSoma zaidi
Ugonjwa wa Korona umeadhiri bihashara Sana kote duniani, bihashara mingi zimeweza kufungwa na zingine kupuguza idadi ya wafanyi kazi.
Je, hivi sasa bihashara ziko chini nini unaweza kufanya ili kujiletea mapato.
Kuna bihashara mingi unaweza kufanya kwenye mitandao na kupata pesa kama vile:
1.Kuandika blogi zinazoelezea jinsi ya kujiepusha na ugonjwa wa Korona na pia matangazo maalum.
2. Kutengeneza video na kuziweka kwenye YouTube.
3. Kuwahimiza watu kununua bidhaa za kampuni Fulani.
4. Kuweka bidhaa kwenye mitandao ya kijamii na upatapo mteja unampelekea alipo.
5. Kuwasaidia wanafunzi kufanya kazi walizopewa shuleni.
CarolGK
Kuna kazi nyingi mitandaoni ambazo unaweza kufanya wakati huu wa mifungo na zikuletee hela. Hizi ni kama: 1) Tengeneza podcast yako. Hii ni sawa na redio. Shirikisha wasikilizaji wako na uweke matangazo. Pakua programu ambayo inasaidia podcast. 2) Andika hadithi kwa mfano kuhusu maisha yako. Kama huSoma zaidi
Kuna kazi nyingi mitandaoni ambazo unaweza kufanya wakati huu wa mifungo na zikuletee hela. Hizi ni kama:
1) Tengeneza podcast yako. Hii ni sawa na redio. Shirikisha wasikilizaji wako na uweke matangazo. Pakua programu ambayo inasaidia podcast.
2) Andika hadithi kwa mfano kuhusu maisha yako. Kama huna pesa ya kuchapisha kitabu, tengeneza kitabu cha sauti na uuze kwenye mitandao.
Angalia kidogoAdmin
Sio kazi nyingi inayofanyika mtandaoni... Kama wewe ni mtu ambaye ana uwezo basi una bahati. Lakini ningefanya orodha ingekuwa hivi: Maandishi ya content - kuandika habari ama mambo mengine Uuzaji vitu kupitia vyombo vya jamii - yaani FB ama jukwaa lingine. Utangazaji (advertising) - haya inawezekaSoma zaidi
Sio kazi nyingi inayofanyika mtandaoni… Kama wewe ni mtu ambaye ana uwezo basi una bahati. Lakini ningefanya orodha ingekuwa hivi:
Sio wote wanaoweza kufanya mambo haya lakini. Huu ni muda mgumu sana
Angalia kidogoERIC

Asante Sana.