• Kuna Mshindi!

Chuo gani Afrika Mashariki ni bora kwa kusomea sayansi ya kompyuta?

Ningependa kujifunza coding. Chuo kikuu gani ni ya bora huku Afrika Mashariki? Niambie jibu pamoja na maelezo.

Shea
  1. Chuo bora zaidi kwa mambo ya kompyuta Afrika mashariki ni Chuo cha Strathmore. Wana vifaa vyote vinavyohitajika kwa ufundi wa kisayansi ya kikompyuta na pia walimu wenye tajiriba ya juu zaidi.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali