Kwa kipindi hiki cha Corona, hali ya biashara sehemu nyingi imekua mbaya sana kulingani na sheria mbali mbali zilizowekwa ndani ya nchi. Nimekuwa nikijiuliza kwamba hali ya biashara itakuaje baada ya ugonjwa huu kuisha. Biashara gani zitakazo kua na nafasi nzuri ya kustawi na kuleta faida?
Shea
Mkubwa
Sasa naona dunia yote inajiuliza hivi. Kazi ya kudumu ni gani? Labda kazi inayowezekana nyumbani itastawi zaidi yaani computer programming ama kusimamia websites. Bila shaka hiyo ni sekta kidogo sana kwa hivyo haifai kama jibu. Naona serikali itakuwa na wajibu wa kusaidia watu warudie kazi. NyakatiSoma zaidi
Sasa naona dunia yote inajiuliza hivi. Kazi ya kudumu ni gani? Labda kazi inayowezekana nyumbani itastawi zaidi yaani computer programming ama kusimamia websites. Bila shaka hiyo ni sekta kidogo sana kwa hivyo haifai kama jibu. Naona serikali itakuwa na wajibu wa kusaidia watu warudie kazi. Nyakati ngumu hasa kwa wanaotegemea pesa ya kila siku.
Angalia kidogoCarolGK
Biashara zinazotumia wingu la kompyuta hazitaweza kuwa chini ya shinikizo la janga la virusi vya corona. Automatisering zaidi na akili bandia itaongeza uvumilivu wa minyororo ya usambazaji. Biashara zilizofanikiwa zitakuwa na mchanganyiko wa uvumilivu na ushujaa.
Biashara zinazotumia wingu la kompyuta hazitaweza kuwa chini ya shinikizo la janga la virusi vya corona. Automatisering zaidi na akili bandia itaongeza uvumilivu wa minyororo ya usambazaji. Biashara zilizofanikiwa zitakuwa na mchanganyiko wa uvumilivu na ushujaa.
Angalia kidogoJoylee
Nchini mbali mbali zilizo athirika na Virusi vya Corona zinahofia kuangamia kiuchumi. Hii ni kufuatia sekta ya biashara kuangamia. Sheria zilizowekwa kwenye nchi kama Kenya ambaya inataka kila mtu awe nyumbani kwake kabla ya saa moja jioni. Wanabiashara wanakatiza kazi zao kwa ajili ya sheria hii haSoma zaidi
Nchini mbali mbali zilizo athirika na Virusi vya Corona zinahofia kuangamia kiuchumi. Hii ni kufuatia sekta ya biashara kuangamia. Sheria zilizowekwa kwenye nchi kama Kenya ambaya inataka kila mtu awe nyumbani kwake kabla ya saa moja jioni. Wanabiashara wanakatiza kazi zao kwa ajili ya sheria hii hapa Kenya. Hivyo baada ya Corona biashara nyingi hazitaweza kuendelea kama mbeleni.
Angalia kidogo