• Kuna Mshindi!

BBC Swahili inasikika katika nchi ngapi?

Unaweza kunitajia nchi ambazo watu wake wanasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili?. Na wanasikiliza kupitia vituo gani vya redio katika nchi zao, au wanatumia njia gani nyingine?

Shea
  1. BBC Swahili inasikika katika nchi nane. Hizi ni: Kenya, Tanzania, Congo, Burundi, Uganda kusini, Malawi, Zambia and Mozambique.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali