Jana video za waafrika waliodhulumiwa China zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Ni Jambo gani viogozi wa Afrika wanafaa kufanya kutokana na tendo hili la unyama?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
ToujoursKwako
Kila janga duniani mwishoni wafrika watalaumiwa hata ikiwa hawahusiki hata kidogo. Ubaguzi malheureusement upo sana china lakini sio china tu.
Kila janga duniani mwishoni wafrika watalaumiwa hata ikiwa hawahusiki hata kidogo. Ubaguzi malheureusement upo sana china lakini sio china tu.
Angalia kidogoCarolGK
Tunafaa kujilaumu wenyewe na uongozi wetu. Wachina wanapewa heshima sana nchini Kenya ata kuliko wenyeji kwa sababu ya miradi na fedha wanazo ingiza nchini na mikopo tunayo faidi kutoka kwao. Serikali ya Kenya ilifaa kuendea wananchi waliokuwa wakiteseka nchini China haraka iwezekanavyo na kuwapelekSoma zaidi
Tunafaa kujilaumu wenyewe na uongozi wetu. Wachina wanapewa heshima sana nchini Kenya ata kuliko wenyeji kwa sababu ya miradi na fedha wanazo ingiza nchini na mikopo tunayo faidi kutoka kwao. Serikali ya Kenya ilifaa kuendea wananchi waliokuwa wakiteseka nchini China haraka iwezekanavyo na kuwapeleka karantini huku nchini.
Angalau huku wangekuwa salama na pia wananchi wangekuwa salama kwa kuwa wangewekwa karantini. Lakini tuliona nchi ya Kenya ikisita sita na kuonekana kama ata yenye kutetea nchi ya uchina wakisema kuwa wamedhibitisha kuwa hakuna waafrika wanaoteseka huko na kuwa habari hizo ni propaganda. Pia waliongezea kuwa wanaotaka kurudi Kenya wajigharamikie wenyewe. Hii imeletea wachina kutudharau zaidi kwani wameona serikali yetu haijali wananchi wake na pia haina uwezo wa kusaidia wananchi wake. Wanachodhamini zaidi ni pesa wanazopata kutoka nchi ya Uchina.
Inauma sana kuona mtu wa jamii yako akiteseka kwenye nchi ya kigeni na hakuna kinachofanyika.
Angalia kidogoJoylee
Muungano wa Kiafrika inapaswa kuchukua hatua kuhusu tukio hili. Tumeweza kutazama kwenye soshio midia na hata kwenye runinga jinsi wakejya wanalala mjini sakafuni kuke China. Ilhali raiya wa China apa Kenya wamepewa heshima ya kuwango cha juu. Serikali ni vyema kuchukua hatua na kukomesha tabia kamaSoma zaidi
Muungano wa Kiafrika inapaswa kuchukua hatua kuhusu tukio hili. Tumeweza kutazama kwenye soshio midia na hata kwenye runinga jinsi wakejya wanalala mjini sakafuni kuke China. Ilhali raiya wa China apa Kenya wamepewa heshima ya kuwango cha juu. Serikali ni vyema kuchukua hatua na kukomesha tabia kama hii. Kunapaswa kuwa na usawa kote duniani bila kuzingatia rangi, kabila, ama eneo mtu alipozaliwa au asili yake. Sote tukiungana tutaweza kuangamiza Corona..
Angalia kidogoMzungu
Shida enyewe ni namna waafrika hawajashikamana pamoja, labda hiyo ni tokeo la ukoloni yaani matengamano yanabaki. Iwe umoja wa Afrika ambao ina jukumu kukosoa ubaguzi wa wafrika lakini naona shirika hili halijaingilia siasa ya dunia kwa nguvu.
Shida enyewe ni namna waafrika hawajashikamana pamoja, labda hiyo ni tokeo la ukoloni yaani matengamano yanabaki. Iwe umoja wa Afrika ambao ina jukumu kukosoa ubaguzi wa wafrika lakini naona shirika hili halijaingilia siasa ya dunia kwa nguvu.
Angalia kidogo