Discy Latest Maswali

Sasa dunia pote panachukua hatua kupigana na virusi. Lakini huko congo na pengine Afrika tayari tunashughulikia maradhi kama ebola. ...Soma Zaidi

Sasa dunia pote panachukua hatua kupigana na virusi. Lakini huko congo na pengine Afrika tayari tunashughulikia maradhi kama ebola. Si waafrika wa Afrique de l’est wamezoea? Masaibu ya ebola imekuwapo Beni kwa muda. Sasa Corona inabisha mlango. Mimi nataka kujua – unaogopa ebola ama corona zaidi? Ebola ina taux de mortality (idadi waliokufa) zaidi lakini Corona ina taux de transmission (idadi walioambukiza) zaidi.

Read less

Sasa watu wanajua Kenya iko mbele si ndio. Hata watanzania wanasema Nairobi ndio kama imeingia majuu. Lakini hali inaweza kubadilika. ...Soma Zaidi

Sasa watu wanajua Kenya iko mbele si ndio. Hata watanzania wanasema Nairobi ndio kama imeingia majuu.

Lakini hali inaweza kubadilika. Sanasana katika huu muda ambao Magafuli anashindana na wenzake vikali.

mfano ni ujanja wake wa kujipatia hiyo mkataba wa kuunganisha Rwanda SGR badala ya Kenya. Mambo kama haya, pamoja na vita yake dhidi ya ufisadi, yanaweza kubadilisha uhusiano kati Kenya na Tanzania. Maoni yako?

Read less

Inasemekana watu wa Afrika wako watu wema na wachangamfu sana. Ukienda ugenini utaona wengine wa dunia hana hii moyo ...Soma Zaidi

Inasemekana watu wa Afrika wako watu wema na wachangamfu sana. Ukienda ugenini utaona wengine wa dunia hana hii moyo ya kupendana. Najiuliza kama hii virusi kutoka nje itabadilisha tabia yetu baada ya vurugu iinayotokea duniani kote. Labda tutakuwa ndani kwa miezi!

Read less

Watu wengi wanahangaika kote duniani juu ya kirusi cha corona. Hata mimi naogopa lakini bado najiuliza kama ni hatari kuliko ...Soma Zaidi

Watu wengi wanahangaika kote duniani juu ya kirusi cha corona. Hata mimi naogopa lakini bado najiuliza kama ni hatari kuliko ugonjwa wengine unaoathiri waafrika wengi. Bila shaka tujipange vizuri kadiri tunavyoweza. Mimi nauliza tu. Asante

Read less