MUS

Bado una maswali juu mambo yetu?  Hamna shida.  Hapa tumekuandalia majibu ya maswali yaliyoulizwa sana (MUS).  Endapo hupati unachotaka baada ya kusoma, basi wasiliana nasi: [email protected]

Mbona hakuna maswali mengi hapa?

Tumeanzisha tovuti yetu hivi karibuni. Bado hatujaulizwa maswali mengi lakini yakifika maswali tutayaweka hapa. Kwa hivyo usiogope kuwasiliana nasi.

Matuzo gani yanaweza kupewa?

Bado tunapanga namna ya kutoa matuzi mbalimbali. Tutapasha habari tukijua zaidi.

Lengo lako nini haswa?

Tumeanzisha tovuti hii kwa sababu nyingi lakini lengo la kwanza ni kusaidia watu wapatiane habari. Tunapanga vizuri ili kufanya habari ya tovuti zipatikane vizuri kwa intaneti kupitia mitambo ya kutafuta (search engines). Hayo ni hatua muhimu ya kuteknologisha lugha ya Kiswahili kwenye kizazi chetu cha habari nyingi. Jiunga nasi!

Kuna ukurasa wa "lisho". Hilo ni nini?

Lisho ni tasfiri la neno la "feed" kwa kiingereza. Lisho ni ukurasa unapoweza kupata habari zinazotengenezwa kwako. Hasa ni maswali ya watu unaofuata, ya majukwaa unayofuata, na ya tagi unazofuata. Hakikisha kufuata unachopenda ili kutengeneza lisho lako vizuri.

Ningependa kufuta akaunti. Nifanyeje?

Unaweza kufuta akaunti yako hapo. Tinasikitika kuona wateja wetu waondoke, lakini tunafahamu.