Jisajili

Jilogisha

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.


Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Sorry, you do not have a permission to add a post.

Discy Latest Maswali

Sasa watu wanajua Kenya iko mbele. Hata watanzania wakasemaga Nairobi ndio kama imeingia majuu. Lakini hali inaweza kubadilika. ...Soma Zaidi

Sasa watu wanajua Kenya iko mbele. Hata watanzania wakasemaga Nairobi ndio kama imeingia majuu.
Lakini hali inaweza kubadilika. Sanasana katika huu muda ambao Magafuli anashindana na wenzake vikali.
mfano ni ujanja wake wa kujipatia hiyo mkataba wa kuunganisha Rwanda SGR badala ya Kenya. Mambo kama haya, pamoja na vita yake dhidi ya ufisadi, yanaweza kubadilisha uhusiano kati Kenya na Tanzania. Maoni yako?

Read less

Warning: Use of undefined constant wpqa_plugin_version - assumed 'wpqa_plugin_version' (this will throw an Error in a future version of PHP) in /www/maswalicom_258/public/wp-content/themes/discy/theme-parts/content-question.php on line 660
  • 0
Majibu

Tayari nimeanza kuwa na shida ya kubaki nyumbani. Nina faida ya kufanya kazi nyumbani lakini tayari magambano yanazidi na ...Soma Zaidi

Tayari nimeanza kuwa na shida ya kubaki nyumbani. Nina faida ya kufanya kazi nyumbani lakini tayari magambano yanazidi na mke. Pia sijui muda gani kazi itabaki katika mazingira haya ya kutojua chochote. Naogopa kuwa uchumi utazorota muda si muda. Tuombe Mungu apitishe janga la Corona.

Read less

Inasemekana watu wa Afrika wako watu wema na wachangamfu sana. Ukienda ugenini utaona wengine wa dunia hana hii moyo ...Soma Zaidi

Inasemekana watu wa Afrika wako watu wema na wachangamfu sana. Ukienda ugenini utaona wengine wa dunia hana hii moyo ya kupendana. Najiuliza kama hii virusi kutoka nje itabadilisha tabia yetu baada ya vurugu iinayotokea duniani kote. Labda tutakuwa ndani kwa miezi!

Read less

Nimefurahi kuona Rayvanny akitoa ngoma ya kuelimisha juu ya ugonjwa hasa kipande kile cha video kinachoonesha raisi wa Tanzania akieleza ...Soma Zaidi

Nimefurahi kuona Rayvanny akitoa ngoma ya kuelimisha juu ya ugonjwa hasa kipande kile cha video kinachoonesha raisi wa Tanzania akieleza uzito wa corona. Mimi nataka kujua kama hii ndio wazo lake ama alishirikiana na mamlaka ya nchi? Iwapo hivyo mbona msanii mwengine hakuchaguliwa kama Diamond?

Read less

Angalia hii twitter ambayo inaonesha askari wa GSU wakitawanya watu na gesi ya machozi. Huenda hii ikawa kawaida ndani ...Soma Zaidi

Angalia hii twitter ambayo inaonesha askari wa GSU wakitawanya watu na gesi ya machozi. Huenda hii ikawa kawaida ndani ya Afrika? Mungu atusaidie

Read less