Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Jitambulisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
JitambulishaJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Vyeo
    • Vyeo
    • Matuzo
    • Watumiaji Wengine
  • Kutuhusu
    • Kutuhusu
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Ufuasi
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 07/11/2022 saa 11:39 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 06/11/2022 saa 12:38 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 02/08/2022 saa 3:01 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 03/07/2022 saa 3:35 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 01/04/2022 saa 6:17 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
    • Wasifu
    • Faragha
    • Barua Pepe
  • Ondoka
Nyumbani / Kutuhusu

Karibu kwa Tovuti Yetu

Wasiliana Matuzo Maswali Matangazo

Hapa ni pa kuuliza na kujibu maswali ya maishani. Kila siku tuna mahitaji ya habari ambayo mtu fulani duniani anajua. Mpango wetu ni wa kuweka habari hizo wazi sana ndio wengine wafaidike. Tunakaribisha maswali na majibu yote. Angalia vipengele ya tovuti yetu kwa chini zifuatazo:

Mifano ya Maswali

Malengo Yetu

Jenga Msingi ya Ujuzi

Msingi ya Ujuzi – Tungependa kujenga msingi ya ujuzi kwa wale wanaouhitaji.  Tovuti yetu iwe jukwaa la kuangazia suluhu kwa matatizo ya kiafrika. Ndipo hapa utapata majibu ya kwetu kabisa.

Kuchangia Jamii – Shirika letu halina nia ya kufaidi kipato bali tunapanga kuchangia mapato yote watumiaji wetu wanaotoa habari nzuri.

Ustawi wa Kiswahili

Ustawi wa Kiswahili – Je, ulijua Kiswahili kinatabiriwa kuwa mojawapo lugha kubwa zaidi duniani miaka hivi karibuni? Inabidi Kiswahili kiwe na nafasi yake mtandaoni. Tunaunga mkono na juhudi hii. Maana ya tovuti hii ni kupandisha matokeo ya kiswahili kwenye google.

Vipengele Tovutini

Jishindia Pesa

Matuzo – Unaweza kujishindia airtime kwa namna mbili: (1) Uliza swali vizuri. Kila siku maswali kadhaa yatatuzwa. (2) Jibu swali vizuri. Una siku 30 ya kujibu maswali yenye tuzo. Mwishowe jibu lenye kura zaidi litatuzwa.

Toa Kidadisi

Vidadisi –  Ukiuliza swali unaweza kutoa kidadisi (yaani poll). Wengine wanaweza kupigia kura kidadisi chako. Hayo ndio namna ya kujua maoni ya hadharani.

Pata Pointi

Pointi – Unaweza kushinda pointi na vyeo kwa harakati unazofanya kwenye tovuti yetu.  Cheo chako kitajitokeza kando ya jina la mtumiaji lako ndio wengine wajue wewe ni mwenye ujuzi.

Chaguliwa Jibu Bora

Jibu Bora – Mtu ambaye aliuliza swali ana haki ya kuchagua jibu bora miongoni mwa majibu yote. Majibu bora yatajitokeza juu ya orodha ndio wote waone jibu hili kwanza.

Piga Kura

Kura – Unaweza kupigia kura maswali yoyote. Hiyo ndio mbinu wetu wa kuhakikisha kuwa maswali na majibu ya bora yaibuke juu ya orodha. Watumiaji wenyewe wataamua.

Mwambaaupande

Matangazo

    • Tarehe: 25/03/2020
    • Maoni: 1

    Toleo la Beta

    • Tarehe: 05/09/2019
    • Maoni: 3

    Tunatengeneza tovuti

Ona Zote

Jiunga Nasi

  • 953 Wafuasi
  • 836 Wafuasi
  • 0 Wafuasi

Gundua

  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Vyeo
    • Vyeo
    • Matuzo
    • Watumiaji Wengine
  • Kutuhusu
    • Kutuhusu
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Kijachini

Hakimiliki 2019 Maswali.com

Mtandao wa kijamii

  • Kutuhusu
  • Sera ya Faragha
  • Masharti ya Utumiaji
  • Wasiliana Nasi
  • swSwahili
  • en_USEnglish
  • fr_FRFrancais