Karibu kwa Tovuti Yetu

Hapa ni pa kuuliza na kujibu maswali ya maishani. Kila siku tuna mahitaji ya habari ambayo mtu fulani duniani anajua. Mpango wetu ni wa kuweka habari hizo wazi sana ndio wengine wafaidike. Tunakaribisha maswali na majibu yote. Angalia vipengele ya tovuti yetu kwa chini zifuatazo:

Mifano ya Maswali

Malengo Yetu

Jenga Msingi ya Ujuzi

Msingi ya Ujuzi – Tungependa kujenga msingi ya ujuzi kwa wale wanaouhitaji.  Tovuti yetu iwe jukwaa la kuangazia suluhu kwa matatizo ya kiafrika. Ndipo hapa utapata majibu ya kwetu kabisa.

Kuchangia Jamii – Shirika letu halina nia ya kufaidi kipato bali tunapanga kuchangia mapato yote watumiaji wetu wanaotoa habari nzuri.

Ustawi wa Kiswahili

Ustawi wa Kiswahili – Je, ulijua Kiswahili kinatabiriwa kuwa mojawapo lugha kubwa zaidi duniani miaka hivi karibuni? Inabidi Kiswahili kiwe na nafasi yake mtandaoni. Tunaunga mkono na juhudi hii. Maana ya tovuti hii ni kupandisha matokeo ya kiswahili kwenye google.

Vipengele Tovutini

Jishindia Pesa

Matuzo – Unaweza kujishindia airtime kwa namna mbili: (1) Uliza swali vizuri. Kila siku maswali kadhaa yatatuzwa. (2) Jibu swali vizuri. Una siku 30 ya kujibu maswali yenye tuzo. Mwishowe jibu lenye kura zaidi litatuzwa.

Piga Kura

Kura – Unaweza kupigia kura maswali yoyote. Hiyo ndio mbinu wetu wa kuhakikisha kuwa maswali na majibu ya bora yaibuke juu ya orodha. Watumiaji wenyewe wataamua.

Toa Kidadisi

Vidadisi –  Ukiuliza swali unaweza kutoa kidadisi (yaani poll). Wengine wanaweza kupigia kura kidadisi chako. Hayo ndio namna ya kujua maoni ya hadharani.

Pata Pointi

Pointi – Unaweza kushinda pointi na vyeo kwa harakati unazofanya kwenye tovuti yetu.  Cheo chako kitajitokeza kando ya jina la mtumiaji lako ndio wengine wajue wewe ni mwenye ujuzi.

Chaguliwa Jibu Bora

Jibu Bora – Mtu ambaye aliuliza swali ana haki ya kuchagua jibu bora miongoni mwa majibu yote. Majibu bora yatajitokeza juu ya orodha ndio wote waone jibu hili kwanza.