Hatua za Kujishindia
1. Ishi kwa Nchi Tunayohudumia – Inabidi uwe na simu ya Kenya, Uganda, ama Tanzania. Kwa sasa hivi tuna uwezo wa kuhudumia hizi nchi tu.

2. Jisajili kwenye Maswali.com – Inabidi uwe na akaunti kwenye tovuti yetu ya Maswali.com. Hiyo ni rahisi. Inachukua dakika mbili.

3. Ingiza Namba kwa Mipangilio – Baada ya kujisajili kaende kwa mipangilio ya wasifa yako. Washa uwezo wa kushinda kaingize namba yako.

4. Tafuta Swali lenye Tuzo – Tafuta maswali yenye maandishi nyekundu ya “Tuzo”. Andika jibu kwa maswali haya. Yanaonekana hivi:
5. Pata Kura Zaidi – Andika jibu vizuri inayotumia maneno mengi na media. Watumiaji wengine watapiga kura kwa jibu wanalopenda.

6. Subiri Mwisho wa Muda – Ukiingia swali lenye tuzo utaona saa ya kuhesabu muda inayobaki. Mara unapokwisha muda, mwenye kura zaidi atateuliwa mshindi.
Muda Unayobaki
Namna za kufuatilia Matuzo
Kuna namna kadhaa za kufuatilia maswali yenye tuzo ndio uwe nafasi ya kuangalia kwanza.