Zote Zingine

Kama swali laki halifai kuwa ndani jukwaa lingine weka hapa.

Shea
Wafuasi
56Majibu
24Maswali

Discy Latest Maswali

Naona Diamond ana malengo mazuri sana tunayoweza kufuatia. Je, kwako ni vipi?

Naona Diamond ana malengo mazuri sana tunayoweza kufuatia. Je, kwako ni vipi?

Read less

Ugonjwa wa Korona ni hatari mno. Kwa miezi tatu iliyopita umeweza kuadhiri dunia yote Sana. Watu wengi wana mawazo tofauti ...Soma Zaidi

Ugonjwa wa Korona ni hatari mno. Kwa miezi tatu iliyopita umeweza kuadhiri dunia yote Sana.
Watu wengi wana mawazo tofauti ambayo yanafaa kutekelezwa, kuhusiana na ugonjwa huu.
Je unawaza vipi kutokana na ugonjwa huu?

Read less

Kila mtoto huwa na ndoto ambayo angependa kuitimiza atakapokuwa mkubwa. Ni asilimia kidogo sana ambayo hufikia ndoto hizo.  Je, ulikuwa ...Soma Zaidi

Kila mtoto huwa na ndoto ambayo angependa kuitimiza atakapokuwa mkubwa. Ni asilimia kidogo sana ambayo hufikia ndoto hizo.  Je, ulikuwa na ndoto gani utotoni wako?  Ushaitimiza?  Iwapo hapana, bado unaona utaitimiza ama la?

Read less

Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka ...Soma Zaidi

Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?

Read less

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia ...Soma Zaidi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia katika kurejesha hali ya uchumi kama awali au la?

Read less

Hivi majuzi Rais wa Tanzania Magufuli ameweza kupuuza virusi vya Korona na kusababisha idadi kubwa ya watanzania kuathirika. Je, kutakuwa ...Soma Zaidi

Hivi majuzi Rais wa Tanzania Magufuli ameweza kupuuza virusi vya Korona na kusababisha idadi kubwa ya watanzania kuathirika. Je, kutakuwa na maafa mengi kutokana na Korona nchini Tanzania? Toa maoni yako.

Read less

Duniani kumekuwa na upugufu WA kazi. Kila mwaka vijana wengi wanatuzwa kwa kukamilisha masomo Yao ya chuo kikuu lakini kupata ...Soma Zaidi

Duniani kumekuwa na upugufu WA kazi. Kila mwaka vijana wengi wanatuzwa kwa kukamilisha masomo Yao ya chuo kikuu lakini kupata kazi imekuwa balaa Sana. Vijana wengi wameamua kuanzisha bihashara,
Je uliwahi anzisha bihashara gani? Ilikuletea faida au hasara?

Read less

Kutoka na ongezeko ya idadi ya watu walio na virusi vya Korona. Nchi nyingi hasa Afrika Mashariki zimeathirika vilivyo. Je, ...Soma Zaidi

Kutoka na ongezeko ya idadi ya watu walio na virusi vya Korona. Nchi nyingi hasa Afrika Mashariki zimeathirika vilivyo. Je, kati ya Uganda, Kenya, na Tanzania, ni nchi gani iliyoathirika zaidi na virusi vya Korona?

Read less