Siasa

Mambo ya siasa – Yaani siasa ya kieneo, kitaifa, kimataifa, ukoloni, ufisadi, rushwe, umajumui, na kadhalika

Shea
Wafuasi
31Majibu
14Maswali

Discy Latest Maswali

Migogoro isiyokwisha kati ya mataifa makubwa ya China na Marekani imepelekea kutokea kwa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia kati ya nchi ...Soma Zaidi

Migogoro isiyokwisha kati ya mataifa makubwa ya China na Marekani imepelekea kutokea kwa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia kati ya nchi hizo. Hivi karibuni Marekani ilifunga ubalozi wa China huko Houston, Texas, na China ikalipa kisasi kwa kufunga ubalozi wa Marekani ulioko Chengdu. Je, kuendelea kwa mguguano huu kunaleta athari gani kwa mataifa yenye uchumi legevu, hasa ya Afrika?

Read less

Je, ni kwa vipi janga la virusi vya korona limeathiri uhusiano wa kimataifa duniani, barani Afrika, na kwenye ukanda wa ...Soma Zaidi

Je, ni kwa vipi janga la virusi vya korona limeathiri uhusiano wa kimataifa duniani, barani Afrika, na kwenye ukanda wa Afrika Mashariki?

Read less

Kenya na Tanzania ni nchi jirani ambazo zimeishi kwa miaka mingi bila ugomvi. Juzi kumekuwa na tatizo fulani kuhusu mpaka ...Soma Zaidi

Kenya na Tanzania ni nchi jirani ambazo zimeishi kwa miaka mingi bila ugomvi. Juzi kumekuwa na tatizo fulani kuhusu mpaka wa nchi inzi mbili kutokana na ugonjwa hatari wa Korona.
Rais wa Kenya aliamurisha kuwa raia wa Tanzania hawataruhusiwa kuingia nchini Kenya. Gari za mizingo ndo zilipewa nafasi ya kusafiri. Hii ni kutokana na ongezeko ya ugonjwa wa Korona nchini Tanzania.
Baada ya siku moja Rais wa Tanzania alihamrisha si wananchi tu ila pia hizo Gari za mizingo kutoka Kenya hazitaruhusiwa nchini Tanzania.
Je iwapo ili litafanyika ni nchi gani itaadhirika Sana?

Read less

Duniani nchi mbalimbali zinaongozwa na Rais tofauti tofauti. Pia kuna Rais ambao walitoka mamlakani. Rais wote wana matendo tofauti tofauti ...Soma Zaidi

Duniani nchi mbalimbali zinaongozwa na Rais tofauti tofauti. Pia kuna Rais ambao walitoka mamlakani. Rais wote wana matendo tofauti tofauti lakini lazima matendo ya Rais mmoja yalikufurahisha ama yanakufurahisha.
Huku ukitoa sababu eleza ni rais mgani unayempenda zaidi duniani?

Read less

Angalia hii twitter ambayo inaonesha askari wa GSU wakitawanya watu na gesi ya machozi. Huenda hii ikawa kawaida ndani ...Soma Zaidi

Angalia hii twitter ambayo inaonesha askari wa GSU wakitawanya watu na gesi ya machozi. Huenda hii ikawa kawaida ndani ya Afrika? Mungu atusaidie

Read less

Mara kwa mara kumekuwa na mjadala wa katika nchi zote duniani ni gani likichezwa inayoongoza kiuchumi? China wamesemekana mara kwa ...Soma Zaidi

Mara kwa mara kumekuwa na mjadala wa katika nchi zote duniani ni gani likichezwa inayoongoza kiuchumi?
China wamesemekana mara kwa mara kuwa ndo wanaongoza uchumi dunia yote.
Je, kwa maoni yako ni nchi gani inayoongoza kiuchumi?

Read less

Punde tu mgonjwa wa Korona  wakwanza alipopatikana nchini Tanzania. Rais John Paul Magufuli aliwasihi Watanzania waendelee na shughuli zao za ...Soma Zaidi

Punde tu mgonjwa wa Korona  wakwanza alipopatikana nchini Tanzania. Rais John Paul Magufuli aliwasihi Watanzania waendelee na shughuli zao za kawaida ili kuzuia uchumi wa Tanzania kuzoroteka.

Kwa maoni yako maneno haya yanafaa?

Read less