Sheria

Mambo ya kisheria – Yaani sera, sheria, mahakama, katiba, haki za binadamu na kadhalika

Shea
Wafuasi
30Majibu
12Maswali

Discy Latest Maswali

Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha ...Soma Zaidi

Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha biashara kama hapo kitambo. Je, unaona kama hii ni wazo nzuri au la?

Read less

Ugonjwa wa Korona uliadhiri shughuli duniani kote. Nchi mingi zilizoadhirika zililazimika kusimamishwa shughuli zao za kawaida. Siku chache zilizopita nchi ...Soma Zaidi

Ugonjwa wa Korona uliadhiri shughuli duniani kote. Nchi mingi zilizoadhirika zililazimika kusimamishwa shughuli zao za kawaida.
Siku chache zilizopita nchi mingi zimeonekana zikiwasihi raia wake kuendelea na shughuli zao za kawaida ili kuzuia kuzoroteka kwa uchumi?
Je, kwa maoni yako hatua hili linafaa kwa wakati huu?

Read less

Je,unafikiri kwamba serikali imeweza kusaidia wananchi katika kuwa na maski kila wakati. Ni hatua ipi ambayo serikali inapaswa kuchukua ili ...Soma Zaidi

Je,unafikiri kwamba serikali imeweza kusaidia wananchi katika kuwa na maski kila wakati. Ni hatua ipi ambayo serikali inapaswa kuchukua ili kuhakikisha kwamba kila mkenya ana maski yake?

Read less

Serikali imeweza kubaini njia tofauti katika kukabiliana na virusi vya Korona. Eastleaigh ikiwa mojawapo ya eneo zilizo kabiliwa na idadi ...Soma Zaidi

Serikali imeweza kubaini njia tofauti katika kukabiliana na virusi vya Korona. Eastleaigh ikiwa mojawapo ya eneo zilizo kabiliwa na idadi kubwa ya watu walio na Korona. Je hatua hii inastahili au la?

Read less

Wakenya wengi walitarajia kwamba, ule muda uliowekwa na serikali ya siku ishirini na moja ya kafiu zikiweza kuisha, kafiu itaondelewa ...Soma Zaidi

Wakenya wengi walitarajia kwamba, ule muda uliowekwa na serikali ya siku ishirini na moja ya kafiu zikiweza kuisha, kafiu itaondelewa rasmi. Hii ni ndoto kwa wengi sasa ivi kwakuwa serikali ilionelea kuongeza muda wa kafiu na siku zingine ishirini na moja. Je, ni hatua bora hii au la?

Read less

Ugonjwa wa Korona umeadhiri dunia yote na kufanya shughuli za kawaida kutofanyika jinsi zilikuwa zinafanywa. Moja wapo wa mambo ambayo ...Soma Zaidi

Ugonjwa wa Korona umeadhiri dunia yote na kufanya shughuli za kawaida kutofanyika jinsi zilikuwa zinafanywa.
Moja wapo wa mambo ambayo hayafanywi ki kawaida ni mambo kama vile kwenda kanisa, kujifijari na pia kutembeleana kwa watu.
Serikali mingi zimeeka kuarantine ili kuzuia wanashukiwa kuwa na virusi vya Korona.
Nchini Kenya Kuarantine wanalipisha shilingi elfu mbili hiyo ni kama Dola ishirini kwa siku kulipia matumizi yao.
Kwa maoni yako malipo haya ghali yafaa.?

Read less

Serikali ya Kenya ilitoa amri ya mazishi kuudhuriwa na watu wasizidi kumi na watano ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa ...Soma Zaidi

Serikali ya Kenya ilitoa amri ya mazishi kuudhuriwa na watu wasizidi kumi na watano ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona.
Kila mtu hutamani kuwapa rafiki, ndungu au jamaa wake heshima ya mwisho.
Ni Kweli watu wengi huwa na rafiki na ndungu wanaozidi kumi na watano.
Kutokana na amri ya Serikali itabidi rafiki na ndungu wengine wasihudhurie mazishi.
Kwa maoni yako amri hili lafaa?
Asante Sana.

Read less

Nchi mingi duniani zinaongozwa kidemokrasia lakini wanachi wanaonekana kutumia Uhuru wao kutenda mambo ambayo Yana madhara mingi. Je kunafaa Uongozi ...Soma Zaidi

Nchi mingi duniani zinaongozwa kidemokrasia lakini wanachi wanaonekana kutumia Uhuru wao kutenda mambo ambayo Yana madhara mingi.
Je kunafaa Uongozi wa kiimla au Kidemokrasia?

Read less

Rais wa kenya ametangaza kuwa hakuna atakaye ruhusiwa kutoka au kuingia au kutoka mji mkuu wa kenya-Nairobi kutoka tarehe 6/4/2020 ...Soma Zaidi

Rais wa kenya ametangaza kuwa hakuna atakaye ruhusiwa kutoka au kuingia au kutoka mji mkuu wa kenya-Nairobi kutoka tarehe 6/4/2020 saa 1 jioni. Je tendo hili lina manufaa kwa nchi?

Read less