Safari

Mambo ya kisafari – Yaani maelekezo, vyombo vya kusafiri, malazi, utalii na kadhalika

Shea
Wafuasi
16Majibu
6Maswali

Discy Latest Maswali

Juma iliyopita Rais wa Tanzania John Magufuli alihamrisha raia wa Tanzania waendelee na shughuli zao za kawaida. Mojawapo wa Jambo ...Soma Zaidi

Juma iliyopita Rais wa Tanzania John Magufuli alihamrisha raia wa Tanzania waendelee na shughuli zao za kawaida.
Mojawapo wa Jambo alizosema zitaendelea ni kutembelea kwa watalii nchini. Leo Watalii wameanza kuwasili nchini Tanzania.
Je hili ni Jambo la busara?

Read less

Nchi za Afrika zina sifa tofauti zinazozifanya kupendeza na pia kufanya watu wengi wapende kutembelea nchi hizo ili kujionea kama ...Soma Zaidi

Nchi za Afrika zina sifa tofauti zinazozifanya kupendeza na pia kufanya watu wengi wapende kutembelea nchi hizo ili kujionea kama sifa hizi ni Kweli.
Huku ukitoa sababu ni nchi gani ungependa kutembelea?

Read less