Muziki

Mambo ya muziki – Yaani sanaa, muziki, nyimbo, ngoma, densi, na kadhalika

Shea
Wafuasi
20Majibu
9Maswali

Discy Latest Maswali

Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye ...Soma Zaidi

Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye habari inayopitiza. Je, unaona kama Magix Enga anaweza kumsaini Diamond na timu yake ya Wasafi kupitia kandarasi?

Read less

Baada ya Kaligraph kutoa mziki wake mpya uliovuma kwote Afrika Mashariki. Kwenye mziki unamskia Kaligraph akisema kuwa “Bahati amekua mtoto ...Soma Zaidi

Baada ya Kaligraph kutoa mziki wake mpya uliovuma kwote Afrika Mashariki. Kwenye mziki unamskia Kaligraph akisema kuwa “Bahati amekua mtoto wa Diana.” Maneno haya yamezua mijadala nyingi ya jinsi Bahati amelemewa na ndoa yake na Diana. Unahisi vipi kutokana na jambo hili?

Read less

Wanamuziki hasa wakati huu wametia bidii kutoa nyimbo mpya kwa jamii. Ilhali kuna wasanii ambao wamechukua fursa hii kuchapisha nyimbo ...Soma Zaidi

Wanamuziki hasa wakati huu wametia bidii kutoa nyimbo mpya kwa jamii. Ilhali kuna wasanii ambao wamechukua fursa hii kuchapisha nyimbo zinazochangia ongezeko la uozo wa jamii. Nyimbo zinazohusu mambo mbaya au habari isiyokua na manufaa kwa jamii, hasa watoto waliochini wa umri wa miaka kumi na nane. Hivi basi, msimamizi na sekta ya maigizo nchini Kenya ameweza kutoa onyo kwa wanamuziki kwa jina Mejja na Femi One baada ya kutoa wimbo wao mpya wa Utawezana. Wimbo huu unaleta habari potovu kwa jamii. Je, unaonelea hatua hii ni sawa au la? 

Read less