Michezo

Mambo ya michezo – Yaani mpira, riadha, olimpiki, spoti, mashindano, na kadhalika

Shea
Wafuasi
14Majibu
7Maswali

Discy Latest Maswali

Kufuatia ongezeko ya watu waliougua virusi vyo Korona, mechi nyingi hasa za kandanda ziliweza kusimamishwa. Iwapo janga na Korona litaisha ...Soma Zaidi

Kufuatia ongezeko ya watu waliougua virusi vyo Korona, mechi nyingi hasa za kandanda ziliweza kusimamishwa. Iwapo janga na Korona litaisha hivi karibuni, ni mechi gani ungependa kutazama?

Read less

Katika miaka ya mwanzoni wa mwaka 2000 hadi kufika mwaka 2006 kulitokea viumbe wawili mafundi sana wa mpira, nao ni ...Soma Zaidi

Katika miaka ya mwanzoni wa mwaka 2000 hadi kufika mwaka 2006 kulitokea viumbe wawili mafundi sana wa mpira, nao ni Ronaldinho Gaucho na Zinedine Zidane. Je kwa mtazamo wako, nani alikua mkali zaidi ya mwingine?

Read less

Mechi zote duniani zilisimamishwa ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona. Kuna mechi kadhaa ambazo mashabiki wa Moira walikuwa na ...Soma Zaidi

Mechi zote duniani zilisimamishwa ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona. Kuna mechi kadhaa ambazo mashabiki wa Moira walikuwa na matumaini kubwa sana ya kuziona. Je ungependa kuona mechi gani likichezwa na kwanini?

Read less

Majuzi madaktari ya Ufaransa wakasema wangeweza kupimisha dawa za kutibu Corona kwetu bara la Afrique. Najiuliza mbona ubaguzi inaendelea ...Soma Zaidi

Majuzi madaktari ya Ufaransa wakasema wangeweza kupimisha dawa za kutibu Corona kwetu bara la Afrique. Najiuliza mbona ubaguzi inaendelea hivyo lakini najivunia sana vile wanaspoti wetu wanalinda sifa ya waafrika. Mbona hao walitamka kwanza dhidi ya ubaguzi?

https://en.as.com/en/2020/04/03/football/1585915688_864933.html

Read less