• Kuna Mshindi!

Matuzo

Matuzo ya Sasa Hivi

Shea
Mfuasi
12Majibu
6Maswali

Discy Latest Maswali

Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa.  Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi ...Soma Zaidi

Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa.  Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi kwa watu.  Baki salama na chukueni hatua za kujilinda.

Read less

Mimi naona watu wanasikia huruma kwa Diamond lakini mbona tumesahau jinsi Tanasha alikuwa mpole sio kama wengine katika maisha ya ...Soma Zaidi

Mimi naona watu wanasikia huruma kwa Diamond lakini mbona tumesahau jinsi Tanasha alikuwa mpole sio kama wengine katika maisha ya nyota. Yeye alimheshimu Diamond sana hata wakati yeye alikuwa mbaya akimdanganya. #TeamTanasha

Read less

Sasa dunia pote panachukua hatua kupigana na virusi. Lakini huko congo na pengine Afrika tayari tunashughulikia maradhi kama ebola. ...Soma Zaidi

Sasa dunia pote panachukua hatua kupigana na virusi. Lakini huko congo na pengine Afrika tayari tunashughulikia maradhi kama ebola. Si waafrika wa Afrique de l’est wamezoea? Masaibu ya ebola imekuwapo Beni kwa muda. Sasa Corona inabisha mlango. Mimi nataka kujua – unaogopa ebola ama corona zaidi? Ebola ina taux de mortality (idadi waliokufa) zaidi lakini Corona ina taux de transmission (idadi walioambukiza) zaidi.

Read less

Sasa hivi nimeishi miaka mengi kwa Afrika Mashariki. Nilitia bidii ili nijue Kiswahili. Hata nikiwaambia watu ninajua kiswahili, ...Soma Zaidi

Sasa hivi nimeishi miaka mengi kwa Afrika Mashariki. Nilitia bidii ili nijue Kiswahili. Hata nikiwaambia watu ninajua kiswahili, hawaniamini. Nauliza – wazungu ambao wanajua kiswahili ni wengi ama ni wachache? Umekutana na wengi? Mzungu ya aina gani kawaida anataka kujua kiswahili? Ni nzuri ama mbaya kuwa wazungu wajue kiswahili?

Read less

Inasemekana watu wa Afrika wako watu wema na wachangamfu sana. Ukienda ugenini utaona wengine wa dunia hana hii moyo ...Soma Zaidi

Inasemekana watu wa Afrika wako watu wema na wachangamfu sana. Ukienda ugenini utaona wengine wa dunia hana hii moyo ya kupendana. Najiuliza kama hii virusi kutoka nje itabadilisha tabia yetu baada ya vurugu iinayotokea duniani kote. Labda tutakuwa ndani kwa miezi!

Read less