Mkubwa aliuliza 03/04/2020kwa Mahusiano, Matuzo Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha alikuwa mtu wa dhati kwa uhusiano wao.
CarolGK aliuliza 12/06/2020kwa Mahusiano, Matuzo Je, unaweza kuoa au kuolewa na mtu ambaye si wa dini yako?
Kura Upendo aliuliza 30/03/2020kwa Mahusiano, Matuzo Wafrika ni watu wachangamfu – tutaendelea hivyo kabisa baada ya muda huu mrefu wa kutengana?
ERIC aliuliza 14/04/2020kwa Mahusiano Ni vyema kuwazika waliodhirika na ugonjwa wa Korona bila kuzikatia Mila zao?
ERIC aliuliza 15/04/2020kwa Mahusiano Ni nini unatamani kufanya lakini huwezi kutokana na Sheria ziliotelewa za kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona?
Joylee aliuliza 19/04/2020kwa Mahusiano Unawezaje jua iwapo utaweza kuoa mpenzi uliye naye wakati huu
Joylee aliuliza 22/04/2020kwa Mahusiano Mambo gani yanayo weza kusababisha mtu awe na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa yake?
ERIC aliuliza 12/05/2020kwa Mahusiano Ni nini haswa utakachofanya punde tu ugonjwa wa Korona ukifikia tamati?