Lugha

Mambo ya lugha – Yaani misamiati, kizungu, sarufi, etimolojia, tafsiri

Shea
Wafuasi
15Majibu
7Maswali

Discy Latest Maswali

Tukiwa shule ya upili, kila mmoja aliweza kusoma vitabi kadha vya tamthilia. Ni kitabu ulipendelea sana kusoma ukiwa katika ...Soma Zaidi

Tukiwa shule ya upili, kila mmoja aliweza kusoma vitabi kadha vya tamthilia. Ni kitabu ulipendelea sana kusoma ukiwa katika shule ya upili? Mbona ulikipenda kitabu hicho?

Read less

Sasa hivi nimeishi miaka mengi kwa Afrika Mashariki. Nilitia bidii ili nijue Kiswahili. Hata nikiwaambia watu ninajua kiswahili, ...Soma Zaidi

Sasa hivi nimeishi miaka mengi kwa Afrika Mashariki. Nilitia bidii ili nijue Kiswahili. Hata nikiwaambia watu ninajua kiswahili, hawaniamini. Nauliza – wazungu ambao wanajua kiswahili ni wengi ama ni wachache? Umekutana na wengi? Mzungu ya aina gani kawaida anataka kujua kiswahili? Ni nzuri ama mbaya kuwa wazungu wajue kiswahili?

Read less