Afya

Mambo ya afya yaani mwili, roho, moyo, hisia, ugonjwa, na hali njema.

Shea
Wafuasi
58Majibu
28Maswali

Discy Latest Maswali

Hivi majuzi serikali imetia bidii katika kuwapima wananchi virusi vya Korona. Hatua hii imefuatia watu wengi kupatikana na ugonjwa huu. ...Soma Zaidi

Hivi majuzi serikali imetia bidii katika kuwapima wananchi virusi vya Korona. Hatua hii imefuatia watu wengi kupatikana na ugonjwa huu. Je, nini kinaweza kuwa chanzo na ongezeko ya idadi ya watu walio na Korona?

Read less

Juzi Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alihudhuria ibanda katika kanisa moja ya Tanzania na kutoa hotuba dhidi ya ugonjwa ...Soma Zaidi

Juzi Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alihudhuria ibanda katika kanisa moja ya Tanzania na kutoa hotuba dhidi ya ugonjwa wa Korona.

Alisema kuwa Korona sio ugonjwa wakutisha Wanatanzania kwani ni ugonjwa wa kawaida ambao mtu anaweza kupona kwa kutumia miti shamba kama maji ya limao.

Alisema pia juma hili anaweza kufungua shule na viwaja nchni Tanzania.

Aliwasihi Watanzania waendelee na shughuli zao za kawaida ili kuhakikisha uchumi wa nchi hujaadhirika.

Je, hatua hizi za Rais wa Tanzania zafaa?

Read less

Virusi vya Korona huwa zinasababisha ugonjwa wa Korona. Kuna njia mingi ambazo virusi hivi vinaweza sambazwa. Kuna fununu kuwa virusi ...Soma Zaidi

Virusi vya Korona huwa zinasababisha ugonjwa wa Korona. Kuna njia mingi ambazo virusi hivi vinaweza sambazwa.
Kuna fununu kuwa virusi hivi vinaweza kuwa zilitengenezewa kwenye labu.
Je virusi hivi vilitengenezwa? Iwapo zilitengenezewa ni Marekani au China?

Read less

Kutokana na hatua na serikali ya Kenya kuruhusu baadhi ya hoteli mjini Nairobi kurudi kazini. Wakenya wameasi wito ya kukaa ...Soma Zaidi

Kutokana na hatua na serikali ya Kenya kuruhusu baadhi ya hoteli mjini Nairobi kurudi kazini. Wakenya wameasi wito ya kukaa nyumbani wakati huu wa Covid19. Hii itachangia katika kuongeza idadi ya watu wanaougua virusi vya Korona. Je, hii ni hatua bora au la?

Read less

Hivi majuzi serikali ya Kenya imeweza kiweka mokakati maalum katika kipambana na korona. Ilhali serikali imeweza kipima watu katika makaunti, ...Soma Zaidi

Hivi majuzi serikali ya Kenya imeweza kiweka mokakati maalum katika kipambana na korona. Ilhali serikali imeweza kipima watu katika makaunti, na idadi ya watu walio na Korona inaongezeka maradufu. Toa maoni yako?

Read less

Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa.  Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi ...Soma Zaidi

Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa.  Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi kwa watu.  Baki salama na chukueni hatua za kujilinda.

Read less