S'inscrire

Facebook
Google
Twitter
Ou utiliser

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Avoir un compte? Connectez vous maintenant

Se connecter

Facebook
Google
Twitter
Ou utiliser

Mot de passe oublié?

Je n'ai pas de compte, Inscrivez-vous ici

Mot de passe oublié

Mot de passe perdu? Veuillez saisir votre adresse e-mail. Vous recevrez un lien et créerez un nouveau mot de passe par e-mail.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Avoir un compte? Connectez vous maintenant

Désolé, vous n'êtes pas autorisé à poser une question, Vous devez vous connecter pour poser une question.

Facebook
Google
Twitter
Ou utiliser

Mot de passe oublié?

Besoin d'un compte, Inscrivez-vous ici
Maswali Logo Maswali Logo
Se connecterS'inscrire

Questions

Chercher
Poser Une Question

Menu mobile

Fermer
Poser une Question
  • Acceuil
  • Catégories
  • Positions
    • Positions
    • Récompenses
    • Watumiaji Wengine
  • A propos
    • A propos
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Contributions
    • Questions
    • Réponses
    • Meilleures réponses
  • Ufuasi
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • Historique
    • Activités
    • Annonces
      • Don du site - 20 Pointi.07/11/2022 à 11:39
      • Don du site - 20 Points.06/11/2022 à 12:38
      • Don du site - 20 Pointi.02/08/2022 à 3:01
      • Don du site - 20 Points.03/07/2022 à 3:35
      • Don du site - 20 Points.01/04/2022 à 6:17
      • Afficher toutes les notifications.
    • Points
  • Message
  • Réglages
    • Wasifu
    • Faragha
    • Barua Pepe
  • Deconnecter
Accueil / Des questions / Q 7553
En cours
Mkubwa
Mkubwa
Posée: 20/04/20202020-04-20T06:49:44-03:00 2020-04-20T06:49:44-03:00Dans: Langue

Walibora, shujaa wa Kiswahili, aliuawa Kenya?

Inaonekana Walibora aliuawa? Nini ilitokea? Mbona mtu angalitaka kumuua mtaalam kama huyo? Mbona yeye hakuokolewa?

  • 1
  • 3
  • 0
Répondre
Partager
  • Facebook

    3 Réponses

    • Voté
    • Récent
    • Le plus ancien
    1. Joylee shupavu na mwenye bidii.
      2020-04-20T13:32:00-03:00A repondu le 20/04/2020 à 1:32

      Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo chLire la suite

      Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo cha kawaida pasipo wati kuleta maoni mengi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

      Voir moins
      • 0
      • Partager
        Partager
        • Partager sur Facebook
        • Partager sur Twitter
        • Partager sur WhatsApp
    2. ERIC Naweza
      2020-04-20T14:12:31-03:00A repondu le 20/04/2020 à 2:12

      Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma. Juma iliyopita Marehemu  Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisemLire la suite

      Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma.

      Juma iliyopita Marehemu  Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisema Kuwa Marehemu Ken Walibora alipata ajali kwa kugogwa na gari na kuikata roho.

      Uchunguzi uliofanyiwa mwili wa Marehemu Ken Walibora uliacha wengi na maswali si haba. Kwani ilionyesha dalili za kuwa na maumivu ya kupigwa mwilini wake.

      Mungu ailaze roho ya Marehemu Ken Walibora mahali pema peponi.😭😭

      Voir moins
      • 0
      • Partager
        Partager
        • Partager sur Facebook
        • Partager sur Twitter
        • Partager sur WhatsApp
    3. CarolGK Napenda lugha
      2020-07-20T12:19:10-03:00A repondu le 20/07/2020 à 12:19

      Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. MolaLire la suite

      Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. Mola alilaze roho yake pema peponi.

      Voir moins
      • 0
      • Partager
        Partager
        • Partager sur Facebook
        • Partager sur Twitter
        • Partager sur WhatsApp

    Vous devez vous connecter pour ajouter une réponse.

    Facebook
    Google
    Twitter
    Ou utiliser

    Mot de passe oublié?

    Besoin d'un compte, Inscrivez-vous ici

    Barre latérale

    Maswali Husika

      • Sur: 30/12/2020
      • Réponse: 1

      Taja inchi tatu zinazo ongea Kiswahili viruzi zaidi barani Africa.

      • Sur: 10/06/2020
      • Réponse: 0

      Je, wazijua lugha ngapi?

      • Sur: 03/06/2020
      • Réponse: 1

      Je, swali kuhusu dira.

      • Sur: 12/05/2020
      • Réponses: 3

      Maana ya "hudhurio"

      • Sur: 30/04/2020
      • Réponses: 3

      Unasemaje "habari yako" kwa kifaransa?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

    • Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo cha George Floyd?
      • Sur: 06/06/2020
      • Réponses: 3

      Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo ...

    • Umewahi kubaguliwa na mzungu?
      • Sur: 02/06/2020
      • Réponse: 1

      Umewahi kubaguliwa na mzungu?

      • Sur: 28/04/2020
      • Réponses: 2

      Hawa wa GSU walitumia nguvu vibaya Likoni Mombasa wakitekeleza sheria ...

    • Eti sasa wengine wanalaumu mkuu wa shirika la afya duniani?
      • Sur: 09/04/2020
      • Réponse: 1

      Eti sasa wengine wanalaumu mkuu wa shirika la afya duniani?

    • Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha alikuwa mtu wa dhati kwa uhusiano wao.
      • Sur: 03/04/2020
      • Réponses: 5

      Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha ...

    Explorer

    • Acceuil
    • Catégories
    • Positions
      • Positions
      • Récompenses
      • Watumiaji Wengine
    • A propos
      • A propos
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Bas de page

    Droits d'auteur 2019 Maswali.com

    Des médias sociaux

    • A propos
    • Politique de confidentialité
    • Conditions d'utilisation
    • Contactez-nous
    • swSwahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrancais