Je, kwa nini twasema “kusini mwa” ama “kaskazini mwa” ilhali hatuongei kuhusu undani wa kitu kama vile chumbani mwa ama tumbona mwa na kadhalika?
Partager
Mot de passe perdu? Veuillez saisir votre adresse e-mail. Vous recevrez un lien et créerez un nouveau mot de passe par e-mail.
CarolGK
Tamko mwa si kimiliki lakini kwa ni kimiliki. Kwa hivyo kumiliki kile chumba tunasema chumbani kwa ama chumbani kwake.
Tamko mwa si kimiliki lakini kwa ni kimiliki. Kwa hivyo kumiliki kile chumba tunasema chumbani kwa ama chumbani kwake.
Voir moins