Sera za Faragha

(Ilisasishwa mwisho: 10 Julai 2019)

Utangulizi

Kampuni yetu ya Maswali (“sisi” au “yetu”) hufanya kazi kwenye maswali.com (“Tovuti”).  Ukurasa huu unahabarisha sera zetu kuhusu kukusanya, kutumia na kutoa taarifa za kibinafsi tunayopokea kutoka kwa watumiaji wa tovuti yetu.

Tunatumia taarifa yako ya kibinafsi tu kwa kutengeneza na kuboresha tovuti yetu.  Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali kwa masharti haya kulingana na sera hii yote.

Ukusanyaji na Utumiaji wa Habari

Wakati unatumia tovuti yetu, tunaweza kuomba taarifa fulani za kibinafsi zinazoweza kutumiwa kuwasiliana nawe au kukutambulisha. Taarifa ya kibinafsi za kutambulisha zinajumuisha jina, barua pepe, namba ya simu, na anwani (lakini hii orodha si zote).

Ulogishaji wa Data (Data zinazo hifadhiwa)

Kama wengine waliomiliki tovuti, tunakusanya habari ambazo kivinjari (browser) chako hutuma kila mara unapotembelea tovuti yetu (“Data ya logi”).

Data ya logi hizi zinaweza kuzingatia habari kama anwani ya kompyuta (protokali ya intaneti ama IP), aina ya kivinjari, toleo la kivinjari, kurasa za tovuti yetu unazotembelea, saa na tarehe za ziara zako, muda uliotumika kwenye ukurasa huu na takwimu zingine.

Aidha, tunaweza kutumia huduma za kampuni zingine kama Google Analytics ambayo inatoa huduma mbalimbali kama ukusanyaji, usimamizi, na uchambuzi wa data.

Mawasiliano

Inawezekana tutatumia taarifa zako za kibinafsi kuwasiliana nawe kupitia barua zilizo na lengo la kutangaza au kujikuza, ama barua zozote zingine za kusuluhisha jambo fulani.

Vidakuzi

Vidakuzi ni faili zilizo na data kidogo sana.  Vidakuzi vinaweza kujumuisha kitambulisho cha pekee kisichojulikana. Vidakuzi vinatumwa kwa kivinjari chako kutoka kwenye tovuti na vinahifadhiwa kwenye kumbukumbu ya kompyuta yako.

Kama tovuti zingine, tunatumia vidakuzi kukusanya taarifa. Unaweza kupanga kompyuta yako kukataza vidakuzi vyote au kutaja wakati unapotumia vidakuzi. Zingatia ya kwamba hungekataa kutumia vidakuzi, huenda hungeweza kutumia sehemu mbalimbali za tovuti yetu.

Usalama

Usalama wa Taarifa yako ya kibinafsi ni muhimu kwetu, lakini kumbuka kuwa hakuna njia ya kupeperusha habari kupitia mtandao ambazo ni usalama asilimia 100.  Tunajitahidi kutumia mazoezi yalio za juu ili kulinda maelezo yako ya kibinafsi, lakini hatuwezi kuthibitisha usalama wake kabisa.

Mabadiliko ya Sera hii ya Faragha

Sera hii ya Faragha inafanyika kuanzia tarehe 10 Julai 2019, na pia itabaki hivyo hadi kuwa mabadiliko mengine yatatokea kwa sera yetu ya faragha.  Mabadiliko yatawekwa mara moja kwa huu ukurusa.

Tuna haki ya kurekebisha au kubadilisha Sera yetu ya faragha wakati wowote na unapaswa kuangalia Sera hii ya faragha mara kwa mara. Matumizi yako endelevu ya huduma yetu inachukuliwa kama ukubali wa kufuatilia sera mpya na masharti mapya.

Ikiwa tutafanya mabadiliko yoyote kwenye sera hii ya faragha, tutakujulisha kupitia anwani ya barua pepe uliyotupatia, au kwa kuweka tangazo kwenye tovuti yetu.

Wasiliana nasi

Ikiwa una maswali yoyote kuhusu sera ya faragha, tafadhali wasiliana nasi kupitia [email protected]