Sign Up

Facebook
Google
Twitter
or use

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Have an account? Sign In Now

Sign In

Facebook
Google
Twitter
or use

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Have an account? Sign In Now

Sorry, you do not have a permission to ask a question, You must login to ask question.

Facebook
Google
Twitter
or use

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here
Maswali Logo Maswali Logo
Sign InSign Up

Questions

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
  • Home
  • Topics
  • Points system
    • Points system
    • Rewards
    • Watumiaji Wengine
  • About Us
    • About Us
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Contributions
    • Questions
    • Answers
    • Best Answers
  • Following
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • History
    • Activity Log
    • Notifications
      • Gift of the site - 20 Pointi.07/11/2022 at 11:39 am
      • Gift of the site - 20 Points.06/11/2022 at 12:38 pm
      • Gift of the site - 20 Pointi.02/08/2022 at 3:01 am
      • Gift of the site - 20 Points.03/07/2022 at 3:35 pm
      • Gift of the site - 20 Points.01/04/2022 at 6:17 am
      • Show all notifications.
    • Point Log
  • Messages
  • Settings
    • Profile
    • Privacy
    • E-mail
  • Log Out
Home / Questions / Q 7553
In Process
Mkubwa
Mkubwa
Asked: 20/04/20202020-04-20T06:49:44-03:00 2020-04-20T06:49:44-03:00In: Language

Walibora, shujaa wa Kiswahili, aliuawa Kenya?

Inaonekana Walibora aliuawa? Nini ilitokea? Mbona mtu angalitaka kumuua mtaalam kama huyo? Mbona yeye hakuokolewa?

  • 1
  • 3
  • 0
Answer
Share
  • Facebook

    3 Answers

    • Voted
    • Recent
    • Oldest
    1. Joylee shupavu na mwenye bidii.
      2020-04-20T13:32:00-03:00Added an answer on 20/04/2020 at 1:32 pm

      Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo chRead more

      Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo cha kawaida pasipo wati kuleta maoni mengi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

      See less
      • 0
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on WhatsApp
    2. ERIC Naweza
      2020-04-20T14:12:31-03:00Added an answer on 20/04/2020 at 2:12 pm

      Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma. Juma iliyopita Marehemu  Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisemRead more

      Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma.

      Juma iliyopita Marehemu  Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisema Kuwa Marehemu Ken Walibora alipata ajali kwa kugogwa na gari na kuikata roho.

      Uchunguzi uliofanyiwa mwili wa Marehemu Ken Walibora uliacha wengi na maswali si haba. Kwani ilionyesha dalili za kuwa na maumivu ya kupigwa mwilini wake.

      Mungu ailaze roho ya Marehemu Ken Walibora mahali pema peponi.😭😭

      See less
      • 0
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on WhatsApp
    3. CarolGK Napenda lugha
      2020-07-20T12:19:10-03:00Added an answer on 20/07/2020 at 12:19 pm

      Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. MolaRead more

      Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. Mola alilaze roho yake pema peponi.

      See less
      • 0
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on WhatsApp

    You must login to add an answer.

    Facebook
    Google
    Twitter
    or use

    Forgot Password?

    Need An Account, Sign Up Here

    Sidebar

    Maswali Husika

      • On: 30/12/2020
      • Answer: 1

      Taja inchi tatu zinazo ongea Kiswahili viruzi zaidi barani Africa.

      • On: 10/06/2020
      • Answers: 0

      Je, wazijua lugha ngapi?

      • On: 03/06/2020
      • Answer: 1

      Je, swali kuhusu dira.

      • On: 12/05/2020
      • Answers: 3

      Maana ya "hudhurio"

      • On: 30/04/2020
      • Answers: 3

      Unasemaje "habari yako" kwa kifaransa?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

    • Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo cha George Floyd?
      • On: 06/06/2020
      • Answers: 3

      Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo ...

    • Umewahi kubaguliwa na mzungu?
      • On: 02/06/2020
      • Answer: 1

      Umewahi kubaguliwa na mzungu?

      • On: 28/04/2020
      • Answers: 2

      Hawa wa GSU walitumia nguvu vibaya Likoni Mombasa wakitekeleza sheria ...

    • Eti sasa wengine wanalaumu mkuu wa shirika la afya duniani?
      • On: 09/04/2020
      • Answer: 1

      Eti sasa wengine wanalaumu mkuu wa shirika la afya duniani?

    • Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha alikuwa mtu wa dhati kwa uhusiano wao.
      • On: 03/04/2020
      • Answers: 5

      Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha ...

    Explore

    • Home
    • Topics
    • Points system
      • Points system
      • Rewards
      • Watumiaji Wengine
    • About Us
      • About Us
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Footer

    Copyright 2019 Maswali.com

    Social media

    • About Us
    • Privacy Policy
    • Terms of Use
    • Contact Us
    • swSwahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrancais