Sign Up

Facebook
Google
Twitter
or use

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Have an account? Sign In Now

Sign In

Facebook
Google
Twitter
or use

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Have an account? Sign In Now

Sorry, you do not have a permission to ask a question, You must login to ask question.

Facebook
Google
Twitter
or use

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here
Maswali Logo Maswali Logo
Sign InSign Up

Questions

Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
  • Home
  • Topics
  • Points system
    • Points system
    • Rewards
    • Watumiaji Wengine
  • About Us
    • About Us
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Contributions
    • Questions
    • Answers
    • Best Answers
  • Following
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • History
    • Activity Log
    • Notifications
      • Gift of the site - 20 Pointi.07/11/2022 at 11:39 am
      • Gift of the site - 20 Points.06/11/2022 at 12:38 pm
      • Gift of the site - 20 Pointi.02/08/2022 at 3:01 am
      • Gift of the site - 20 Points.03/07/2022 at 3:35 pm
      • Gift of the site - 20 Points.01/04/2022 at 6:17 am
      • Show all notifications.
    • Point Log
  • Messages
  • Settings
    • Profile
    • Privacy
    • E-mail
  • Log Out
Home / Questions / Q 7491
In Process
Joylee
Joylee
Asked: 19/04/20202020-04-19T03:15:56-03:00 2020-04-19T03:15:56-03:00In: Relationships

Unawezaje jua iwapo utaweza kuoa mpenzi uliye naye wakati huu

Ni wazi kuwa, watu wengi hawayuko kazini kufuatia janga ka Korona. Wanaochimbiana wanatarajia siku itafika waweze kufunga ndoa. Utawezaje ng’amua iwapo mpenzi uliye naye wakati huu ndiye mtakaye funga ndo pamoja naye?

  • 0
  • 2
  • 1
Answer
Share
  • Facebook

    2 Answers

    • Voted
    • Recent
    • Oldest
    1. ERIC Naweza
      2020-04-19T03:47:07-03:00Added an answer on 19/04/2020 at 3:47 am

      Ni wengi wanaochimbiana ila ni wachache tu huwa wanafunga ndoa. Kunao wanaochimbiana kwa miaka mingi lakini mwishowe wanaachana tu. Iwapo mnachumbiana unaweza njua kama mtaweza kuoana kwa kutazama jinsi mnavyoishi. Iwapo mtu akona mpango wa kukuoa hatafanya mambo mingi yanayo changia maisha yenu yaRead more

      Ni wengi wanaochimbiana ila ni wachache tu huwa wanafunga ndoa. Kunao wanaochimbiana kwa miaka mingi lakini mwishowe wanaachana tu.

      Iwapo mnachumbiana unaweza njua kama mtaweza kuoana kwa kutazama jinsi mnavyoishi.

      Iwapo mtu akona mpango wa kukuoa hatafanya mambo mingi yanayo changia maisha yenu ya siku za usoni lakini iwapo mtu Hana mpango ya kukuoa mambo hatakayofanya ni ya muda mfupi tu.

      Asante Sana.

      See less
      • 1
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on WhatsApp
    2. CarolGK Napenda lugha
      2020-07-01T01:45:03-03:00Added an answer on 01/07/2020 at 1:45 am

      Hiyo inategemea na wewe binafsi lakini ningeomba kama huna nia ya kumuoa msichana wa watu usimpotezee muda wake na kumuharibia maisha yake. Nyinyi wenyewe mnawaharibu wasichana halafu mnawatupa mkisema kuwa mnataka kuwaoa mabikira. Je, ni ungwana kweli? Kwani wasichana hawa hawajitoi ubikira. Na kumRead more

      Hiyo inategemea na wewe binafsi lakini ningeomba kama huna nia ya kumuoa msichana wa watu usimpotezee muda wake na kumuharibia maisha yake. Nyinyi wenyewe mnawaharibu wasichana halafu mnawatupa mkisema kuwa mnataka kuwaoa mabikira. Je, ni ungwana kweli? Kwani wasichana hawa hawajitoi ubikira. Na kumbuka dunia ni duara, unyama unaowafanyia wasichana hawa wataja fanyiwa kizazi chako pia.

      See less
      • 0
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on WhatsApp

    You must login to add an answer.

    Facebook
    Google
    Twitter
    or use

    Forgot Password?

    Need An Account, Sign Up Here

    Sidebar

    Maswali Husika

      • On: 14/06/2020
      • Answers: 0

      Je, ni mtu wa kabila gani huwezi kuolewa naye na ...

      • On: 12/06/2020
      • Answer: 1

      Je, unaweza kuoa au kuolewa na mtu ambaye si wa ...

      • On: 05/06/2020
      • Answer: 1

      Je, nijuaje kama mwanamume ni mtu mkweli katika uhusiano?

    • Umewahi kubaguliwa na mzungu?
      • On: 02/06/2020
      • Answer: 1

      Umewahi kubaguliwa na mzungu?

      • On: 28/05/2020
      • Answers: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • On: 30/05/2020
      • Answers: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      • On: 28/05/2020
      • Answers: 3

      Hatua na serikali ya Kenya kuondo kafiu na vizuizi vya ...

      • On: 28/05/2020
      • Answers: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

      • On: 26/05/2020
      • Answer: 1

      Ni mambo gani ambayo umepanga utafanya pindi tu serikali itakapo ...

      • On: 26/05/2020
      • Answer: 1

      Unahisi vipi kutokana na maoni ya Magix Enga kutaka kumsaini ...

    Explore

    • Home
    • Topics
    • Points system
      • Points system
      • Rewards
      • Watumiaji Wengine
    • About Us
      • About Us
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Footer

    Copyright 2019 Maswali.com

    Social media

    • About Us
    • Privacy Policy
    • Terms of Use
    • Contact Us
    • swSwahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrancais