Duniani nchi mbalimbali zinaongozwa na Rais tofauti tofauti. Pia kuna Rais ambao walitoka mamlakani. Rais wote wana matendo tofauti tofauti lakini lazima matendo ya Rais mmoja yalikufurahisha ama yanakufurahisha.
Huku ukitoa sababu eleza ni rais mgani unayempenda zaidi duniani?
Ni rais mgani umpendaye zaidi duniani?
Share
Ahmed Abih ya Ethiopia - ndi yeye aliwahi kuibuka mshindi katika nchi ambayo ilikuwa inashuku sana watu wenye ukabila wake yaani oromia. Sasa anajitahidi kutawala akishugulikia mahitaji ya watu wote lakini sio tu kwa upande wa kioromo. Tena katika vurugu iliotokea Sudan, alitembelea kusapoti demokRead more
Ahmed Abih ya Ethiopia – ndi yeye aliwahi kuibuka mshindi katika nchi ambayo ilikuwa inashuku sana watu wenye ukabila wake yaani oromia. Sasa anajitahidi kutawala akishugulikia mahitaji ya watu wote lakini sio tu kwa upande wa kioromo. Tena katika vurugu iliotokea Sudan, alitembelea kusapoti demokrasia na haki za binadamu. Alipata tuzo la nobel laureate lakini yeye anatoboa njia yake ya pekee. Tena alinusurika kwenye jaribio shindwe la kumuua. Maana ya hiyo ni kwamba anabadilisha Ethiopia sana mpaka maadui wake walijaribu kummaliza. Hiyo ndio namna moja ya kujua mtu anabatilisha nchi kwa ukweli. Walio mamlakani hawaachi utawala wao kirahisi.
See lessNilimpenda sana hayati Nelson Mandela aliyekuwa rais wa Afrika Kusini. Alipigania sana uhuru wa Afrika mashariki na usawa wa watu weusi kwa watu weupe katika nchi ambayo kulikuwa na ubaguzi sana wa rangi. Hongera sana Mheshimiwa Mandela. Ijawapo uliondoka, matendo yako mema yatakumbukwa milele.
Nilimpenda sana hayati Nelson Mandela aliyekuwa rais wa Afrika Kusini. Alipigania sana uhuru wa Afrika mashariki na usawa wa watu weusi kwa watu weupe katika nchi ambayo kulikuwa na ubaguzi sana wa rangi. Hongera sana Mheshimiwa Mandela. Ijawapo uliondoka, matendo yako mema yatakumbukwa milele.
See less