Sasa inaonekana hata Burundi iko na visa vya maambukizi ya corona. Ndio walikuwa wanasema labda neema ya mungu ililinda nchi yake. Hongera kwake kwa kuepusha corona mpaka sasa. Nchi ya burundi iko kwa hali maskini zaidi ya nchi zingine East Africa basi wako na siku zaidi ya kujitayarisha janga hili. Naomba neema zaidi mungu!
Linki hii ndio habari kutoka Burundi:

Nchi nyingi Afrika kama vile Burundi na Tanzania ugonjwa wa Covid unaenea lakini serikali zao zimeamua kuzificha habari hizo. Tumeshuhudia miezi michache iliyopita vifo vya kutatanisha vya wakuu wa serikali za Burundi na Tanzania ambavyo hatuwezi dhibitisha kama kweli ni vya Corona au la, kwani seriRead more
Nchi nyingi Afrika kama vile Burundi na Tanzania ugonjwa wa Covid unaenea lakini serikali zao zimeamua kuzificha habari hizo.
Tumeshuhudia miezi michache iliyopita vifo vya kutatanisha vya wakuu wa serikali za Burundi na Tanzania ambavyo hatuwezi dhibitisha kama kweli ni vya Corona au la, kwani serikali zao zimekanusha.
Hata hivyo ugonjwa huu ni neema ya Mungu tu inayotulinda Afrika nzima kwani ni swala zito sana kwa Afrika kwa ujumla.
See lessAfrica yote ina neema ya Mungu.
Africa yote ina neema ya Mungu.
See less