Kenya na Tanzania ni nchi jirani ambazo zimeishi kwa miaka mingi bila ugomvi. Juzi kumekuwa na tatizo fulani kuhusu mpaka wa nchi inzi mbili kutokana na ugonjwa hatari wa Korona.
Rais wa Kenya aliamurisha kuwa raia wa Tanzania hawataruhusiwa kuingia nchini Kenya. Gari za mizingo ndo zilipewa nafasi ya kusafiri. Hii ni kutokana na ongezeko ya ugonjwa wa Korona nchini Tanzania.
Baada ya siku moja Rais wa Tanzania alihamrisha si wananchi tu ila pia hizo Gari za mizingo kutoka Kenya hazitaruhusiwa nchini Tanzania.
Je iwapo ili litafanyika ni nchi gani itaadhirika Sana?
Je kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani inatengemea ingine Sana?
Share
Tanzania ni nchi iliyo imarika zaidi kiuchumi na hata Kenya. Lakini Kenya imeweza kuonyesha maendeleo mengi miaka kama kuki zilizopita. Kwa maoni yangu, Kenyaiko mbele ki maendeleo ukilinganisha na Tanzania.Iwapo mtawanyiko huu utazidi, basi Tanzania ndio nchi ambayo itaweza kuathirika zaidi.

See lessKenya iko bora sana kiuchumi na kimaendeleo. Tanzania labda kwa sanaa za uigizaji na muziki pekee.
Kenya iko bora sana kiuchumi na kimaendeleo. Tanzania labda kwa sanaa za uigizaji na muziki pekee.
See less