Juzi Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alihudhuria ibanda katika kanisa moja ya Tanzania na kutoa hotuba dhidi ya ugonjwa wa Korona.
Alisema kuwa Korona sio ugonjwa wakutisha Wanatanzania kwani ni ugonjwa wa kawaida ambao mtu anaweza kupona kwa kutumia miti shamba kama maji ya limao.
Alisema pia juma hili anaweza kufungua shule na viwaja nchni Tanzania.
Aliwasihi Watanzania waendelee na shughuli zao za kawaida ili kuhakikisha uchumi wa nchi hujaadhirika.
Je, hatua hizi za Rais wa Tanzania zafaa?