Hivi majuzi, mwanahabari shupavu wa televisheni na hosti mkuu wa show inayoitwa “10 over 10” nchini Kenya. Ameweza kukabiliwa na malalamishi kwamba akona uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa yake. Nini hasa inaweza kuwa chanzo cha kisa hiki. Au kulingana na maoni yako.ni mambo gani yanayo changia katika kitendo kama hiki?
Share
Tamaa. Wanaume wana tamaa sana. Hii ndiyo inayochangia wanaume wengi kwenda nje ya ndoa. Tendo hili halifai kabisa na alichofanya Willis atakuja kujutia mbeleni.
Tamaa. Wanaume wana tamaa sana. Hii ndiyo inayochangia wanaume wengi kwenda nje ya ndoa. Tendo hili halifai kabisa na alichofanya Willis atakuja kujutia mbeleni.
See less