Italy wameweza kuthibiti virus vya Corona pamoja Amerika. Je, kulingana na maoni yako, pana uwezekano kuwa nchi hizi zimepata dawa na kutibu virusi vya Corona?
Share
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Korona ni ugonjwa hatari sana ambao umepiga dunia. Ni bayana kuwa virusi vyovyote vile havina dawa ila kunaezapatikana dawa ya kupuguza ukali wake. Wanasayansi wanazidi kutafuta dawa inayoweza kupuguza ukali wa virusi hivi. Siwezi sema kuwa kuna dawa ambayo imepatikana kwani Amerika watu wanazidi kuRead more
Korona ni ugonjwa hatari sana ambao umepiga dunia.
Ni bayana kuwa virusi vyovyote vile havina dawa ila kunaezapatikana dawa ya kupuguza ukali wake.
Wanasayansi wanazidi kutafuta dawa inayoweza kupuguza ukali wa virusi hivi.
Siwezi sema kuwa kuna dawa ambayo imepatikana kwani Amerika watu wanazidi kufa na maabukuzi mpya kupatikana kila uchao.
Asante Sana.
See lessHakujatangazwa kuwa dawa yoyote imepatikana ya corona, ila nchi mbali mbali zinafanya kazi usiku na mchana kuvumbua chanjo ya virusi vya corona na tuna imani itapatikana.
Hakujatangazwa kuwa dawa yoyote imepatikana ya corona, ila nchi mbali mbali zinafanya kazi usiku na mchana kuvumbua chanjo ya virusi vya corona na tuna imani itapatikana.
See less